britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Tundu Lissu style cc RetiredNimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi,
Hata wakati wa uchaguzi mkuu I told them Sikumsapot kibaki 2007 nilimuunga Mkono Odinga,
2012 nilimuunga Mkono Uhuru, kutokana na Maono ya atakapoifikisha kenya
2017 Vile vile Nilimpa sapot Kenyatta.
Baada ya kuona kuwa Kirusi cha siasa za Kenya ni Odinga
Njia pekee ni Kumficha au Kutumia ile njia ya kutomkamata Mateka, Kenya itatawalika vema,
Matatizo ya Kenya si sababu ya Rutto bali ni Mambo ya Dunia nzima
#FichaOdingaWakenyaWawenaAmani
Britanicca
Haiwezekani kumgusa BABA nyie vichwa hali jojo pambaneni na ujinga yenu ya Tizi, mambo ya Kenya yetu tuachieni wenyewe.Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi,
Hata wakati wa uchaguzi mkuu I told them Sikumsapot kibaki 2007 nilimuunga Mkono Odinga,
2012 nilimuunga Mkono Uhuru, kutokana na Maono ya atakapoifikisha kenya
2017 Vile vile Nilimpa sapot Kenyatta.
Baada ya kuona kuwa Kirusi cha siasa za Kenya ni Odinga
Njia pekee ni Kumficha au Kutumia ile njia ya kutomkamata Mateka, Kenya itatawalika vema,
Matatizo ya Kenya si sababu ya Rutto bali ni Mambo ya Dunia nzima
#FichaOdingaWakenyaWawenaAmani
Britanicca
Kenya nimekaa nao mateja wengi kuliko wenye akili timamuHakuna taifa lina watu wajinga hapa Africa kama Kenya. Japo wao husema wanajitambua wameelimika ila ni wajinga sana. Wanafanya siasa za kishabiki zisizo na faida yoyote.
Haya ndio mambo nilikuwa namkubali JPM kwa kuchora mstari wa kudili na waganga njaa wa kisiasa mtu akileta mchezo unatandika shaba tu. Yani Rais amechaguliwa na watu kwa kura za kidemokrasia alafu wewe unataka kumtoa kwa maandamano?? Dunia nzima mafuta yamepanda bei alafu ruto baada ya miezi 6 ashushe bei nchini Kenya. Ruto b a man ukicheka na nyani utavuna mabua una wananchi wajinga mno na mnadekezana sana.
Odinga hana haki na anachofanya. Hata kama maisha magumu hakuna kipengele cha katiba kinachompa haki ya kuamua serikali halali iliyopo madarakani iondolewe kinyume cha katiba. Odinga kama anqadhani ana hoja ya kuwashawishi wakenya anapaswa asubiri uchaguzi ujao auze sera za,maisha magumu wakenya waki.kubali wamchague.Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi,
Hata wakati wa uchaguzi mkuu I told them Sikumsapot kibaki 2007 nilimuunga Mkono Odinga,
2012 nilimuunga Mkono Uhuru, kutokana na Maono ya atakapoifikisha kenya
2017 Vile vile Nilimpa sapot Kenyatta.
Baada ya kuona kuwa Kirusi cha siasa za Kenya ni Odinga
Njia pekee ni Kumficha au Kutumia ile njia ya kutomkamata Mateka, Kenya itatawalika vema,
Matatizo ya Kenya si sababu ya Rutto bali ni Mambo ya Dunia nzima
#FichaOdingaWakenyaWawenaAmani
Britanicca
Ilaa kipewa handshake anakaa kimya mnaacha na njaaa unabaki tuachie BABA ukumnaendelaa kuteseka wakati yeye kashakula cake yake serekalini amkaa Sasa huu ujinga wakuandamana bila sababu ya msingi ni ujinga wakuharibu uchimi wa nchiHaiwezekani kumgusa BABA nyie vichwa hali jojo pambaneni na ujinga yenu ya Tizi, mambo ya Kenya yetu tuachieni wenyewe.
We know our rights na kwa taarifa yako hakuna penye wanaeza mpeleka BABA na hakuna cell ya polisi yeyote anaweza lazwa hapa Nai
Sio kama utajiri ww 🤣Urais mtam sana
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi,