Njia pekee ya kuleta amani Kenya ni ku-deal na Odinga bila kudekezwa

Anyamazishwe , au siyo?
 
Ulichoandika ni pumba mbona ruto alikua anamtuhumu uhuru kwenye kupanda kwa bei na huku dunia nzima bei ya vitu ilikua imepanda
Ruto aliandamana? Watu wakifa kwenye haya maandamano mtamlaumu ruto au odinga? Huwa mnawaza kwa kutumia viungo gani?
 
Huwez fananisha siasa za Tanzania na kenya ni mbingu na ardhi,
Tanzania kukiwa na mtaji wa wajinga kenya kuna werevu wengi
Werevu wanaopigana hadi vita vya ukabila au kenya unatoiongelea wewe ni ya uranus?
 
Kumuita Odinga meza i ni kuruhusu culture ya kutokubali kushindwa iendelee kumea.

Haiwezekani yeye ndiye awe muamuzi wa kila jambo la wakenya. Katiba yao iliweka vyombo mbalimbali inatakiwa Raila aheshimu maa.muzi ya vyombo hivyo maana ndicyo vyenye mandate kwa,mujibu wa katiba yao.
 
Hakika
 
Katiba inatambua pia vifo visivyo na lazima.? Pathetic thinking. Just because it’s legal it doesn’t make it logical
Mbona mahakama kuu ya kenya ambayo ndo watafsiri sheria hawajasema kwamba raila kavunja sheria ila mkazi wa tanzania unataka kutuaminisha raila kavunja sheria

Swali langu tukusikilize wewe au mahakama ya kenya
 
Maandamano ni haki ya vyama vya siasa maadam hakuna vurugu. It's simple Ruto ashushe gharama za maisha that's all maandamano yatakufa automatically
 
Nimecheka kaa fala 😂😂😂😂😆😆😆
 
Unadhani Kenya ni kama hapa kwetu? afadhari hao maandamano yanawapa relief ya kusema shida zao vinginevyo hukutaweza kutawalika na huo ushauri unaosema wa kumtokomeza Raila watakua wamemwaga petrol kwenye moto tuwa ache na nchi yao wanafahamiana baadae watakaa utasikia wameyamaliza hii sio mara ya kwanza
 
Mbona mahakama kuu ya kenya ambayo ndo watafsiri sheria hawajasema kwamba raila kavunja sheria ila mkazi wa tanzania unataka kutuaminisha raila kavunja sheria

Swali langu tukusikilize wewe au mahakama ya kenya
Mwalimu wako wa kiingereza alipata tabu. Rudia kusoma. “Just because it’s legal, it doesn’t make it logical” sasa mahakama hapo nimeitaja wapi? Kila mwanadamu ana haki ya kuimba na kucheza mbona hamuendi kukata viuno lugalo mle ndani? na sheria haikatazi kwasababu hakuna mwenye ardhi yake.

Jilazimishe kuelewa hata kama ubongo umejaa nta
 
Alivyo kua Maalim Seif Zanzibar ni sawa na Raila Kenya ile ni roho yao wakitaka Kenya iwe jivu wafanye huo ujinga
 
Kwanza kabisa, Ku_deal na Rails kwa kumuondoa kabisa in wazo ambalo halipo. Akuguswa tu, patakuwa hapatoshi hapa Kenya, na sio utani.

Pili, siasa za Raila zinahujumu siasa za Ruto za Bottom-Up. Kipindi cha kampeni, Ruto alisema akishaapishwa na kuweka Biblia chini, atashughulikia mfumuko wa bei ya vyakula, ataomdoa ruzuku kwenye mafuta na unga, hatakopakopa nje, atapumguza matumizi na ya kuwa bei ya juu ya bidhaa kipindi kile ni kwa sababu ya handshake (kumbuka vita vya Ukraine/Russia). Sasa ahadi zake zote zinamtokea puani.
 
Ila watizedi tuko na shobo sana, hivi ingekuwa hayo maandamano yako Tanzania wakenya wangetuonea huruma!! Yetu mangapi yatanatusonga!! Kwakweli binafsi yangu najionea kawaida tu maana wakenya hawajawahi kuonyesha huruma na sisi
 
Piga risasi moja ya kichwa maliza kazi..Misukule yake itapiga vurugu siku chache ila nchi itapata amani ya kudumu baada ya hapo
Yes kama Magufuli alivyokuwa ana deal na wapumbavu wachache
 
Huu ndio ukweli nyingine ni siasa tu hua tunafanya, dunia nzima maisha yamepanda sio kenya tu, wao walitakiwa kuibana serikali yao walau waone wanatokaje kwenye mkwamo huo wa uchumi,
Kwa njia ipi waibane serikali unadhani...?

Hii inayotumika sasa (ya maandamano) ndiyo njia rahisi na very effective na ni halali kisheria na kikatiba...

Naona wewe Arovera na mwenzako britanicca mna mentality za ki - CCM tu na kujisahau kuwa mnaongelea siasa za Kenya ambazo wameshatoka kwenye ujinga wa ki - CCM - CCM ya Tanzania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…