Njia pekee ya kuleta amani Kenya ni ku-deal na Odinga bila kudekezwa

Kwani ye ni Nani
 
Wajinga ni nyingi mnaoburuzwa Kwa bütün kupanda bəzi bila kulalamika, wakenya wanajitambua mno,
Maandamano yanaşı
-Inflation ishuke
-Katiba
-wizi wa kura
-Ukabila
Etc
Hapa kwenu vote hivyo vipo Tena Kwa halı ya juu mpo kimyaaaa nani mpuuzi
 
Tangu waanze kuandamana nini kimeshuka bei?
Ukabila umeisha?
Katiba si ndio ilikuwa tatizo baada ya kubadilidshwa mbona bado wanaandamana kama zombies?
Wapuuzi na wakoswa akili hao.
 
Kweli kabisa, haiwezekani kila uchaguzi anajiona yeye ni mkubwa kuliko nchi, wakati wake wa kujua hajui ni sasa. Ruto anafahamu vyema namna ya ku deal na huyu mzee. Maandamano yake ya leo yamekua failure
Wamchape ya kichwa wiki moja tu atasahaulika Kenya isonge mbele
 
Wakenya hua ni wajinga sana sana
Ingekuwa hapa kwetu watu wangetushana ohhh sijui waende viongozi na familia zao sijui upuuzi gani
Wakenya wanaandamana tu kwasabbu wwanajitambua
 
Hapo ndipo nilipokuwa namkubali JPM, alijua kuwashughulikia wapuuzi wavuruga amani
 
Ndg zangu waTZ mbona mnawashwa washwa sana
(in Jiwe's voice)😂😂
Ziacheni mutu za Kenya
ziamue mambo zao.
 
Siasa za Kenya ni zaidi ya vyama vya siasa ndani yake kuna ukabila wa kutisha wa wajaluo na kikuyu. Sio shughuli ndogo kudeal na Odinga,manake husipopiga mahesabu vizuri unaamsha vita ya Kikuyu na Wajaluo.
Huo uoga wako tu. Anachapwa risasi moja tu wiki anazikwa faster wiki moja tu watu wanasahau. Ananaki wajakoya hana madhara yule bendera fuata upepo.
 
Huo uoga wako tu. Anachapwa risasi moja tu wiki anazikwa faster wiki moja tu watu wanasahau. Ananaki wajakoya hana madhara yule bendera fuata upepo.
Uoga wangu kwani mimi Mkenya?Nimeongea sababu najua tatizo la ukabila ambalo wanalo Wakenya.Ruto akithubutu tu kumpiga risasi hali itakuwa mbaya mara kumi hii ya sasa.
 
Natural death inachelewa
 
Aguswe tu ndio utatambua huyo jamaa ni nani. Unafikiri UDA battalion nzima na askari mbona hawajamkamata hadi wa leo? Wanabwabwaja wakifoka eti, " Tutamkamata, tutamshughulikia, tutamfung,a bla bla bla.....". Wanajua wakimgusa tu, kwishnei.
Kama aliweza kumtesa mzee moi ruto ni nani sasa 😂😂😂

Baba odinga acha awanyooshe tu
 
Kabisa! Huyu wana mwendekeza sana😎
 
Huu ndio ukweli nyingine ni siasa tu hua tunafanya, dunia nzima maisha yamepanda sio kenya tu, wao walitakiwa kuibana serikali yao walau waone wanatokaje kwenye mkwamo huo wa uchumi,
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…