Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hamjamboni wote!
Ukiona mtu yeyote mapenzi hayambabaishi ujue anatumie Kanuni ya kutowekeza kwenye mapenzi na kuwekeza kwa Mwanamke.
Asije Panya yeyote akakudanganya kuwa usipokeeza kwa Wanawake ati utaishia kuwaita shemeji wanawake warembo. Huo sio UKWELI.
Nakuhakikishia, kuna mwanamke Mmoja Mrembo kuliko hao fisimaji watakaokuchuna pesa za nguvu zako kisha wakuumize hisia zako. Huyo mwanamke Mrembo yupo na hutatumia nguvu ya pesa kumpata.
Mimi ni wale aina ya wanaume ambao mapenzi kwetu ni kama Uji. Hatuwekezi huko na Wala hatuwekezi kwa mwanamke.
Na sijawahi kuwa kwenye uhusiano na Binti asiyeeleweka.
Maana kuna wanaume wanadanganywa kuwa oooh! Ukiwa bahili huwezi pata pisikali. Uongo huo.
Kitendo cha kujiona bila pesa mapenzi huyawezi Jua tayari wanawake wanakudharau Sana.
Yaani kwamba wewe bila pesa wewe sio chochote sio lolote. Wewe sio Mwanaume.
Mbona Sisi hatuna hizo pesa na hatujawahi Kutembea na Kazi mbovu?
1. Watoto sura kama Malaika, pua mchongoko macho ya kisu.
2. Rangi ya kahawia au weupe Fulani hivi.
3. Umbo namba nane, Mzigo wa kutosha.
4. Watoto wasio ombaomba, pesa ndogondogo haziwasumbui.
Unawekeza kwa Mwanamke alafu wenzako wanakuja kama Staffs wanajipigia bureee tena wanapewa yote bila masharti.
Unamnunulia simu mwanamke alafu simu hiyohiyo unawekewa masharti na code kibao usiishike. Bado unajiona ni mwanaume. Staffs wakija wanapewa password na wanaipekua watakavyo.
Hakunaga heshima yoyote utakayopewa kwa kuwekeza kwenye mapenzi au wanawake mbuzi weeee!
Zaidi Sana utaitwa Buzi, danga, majina yote ya kudharaulika.
Muangalie Ashraf Hakimi ambacho Amefanya na heshima aliyonayo Duniani. Vile ndivyo mwanaume unatakiwa Kuwa.
Unatakiwa mwanamke akuheshimu hata kama hauna pesa, tofauti na hapo wewe ni zombi tuu.
Sisi Watibeli pesa hatutoi, na kamwe huwezi kuta tunachukua Kazi mbovu.
Kwetu ni mwiko kuwekeza kwenye mapenzi na wanawake. Hatujali Maneno ya watu wajinga na Watumwa ambao hujivunia utumwa kwa Wanawake kama ndio uanaume huku wakituita Sisi wabahili.
Ajabu ni kuwa hakuna mtibeli mwenye mwanamke asiyeeleweka.
Sijivunii Wala sina kiburi Bali nazungumzia uhalisia.
Ukiwa wewe ni Kijana unataka mapenzi yasikusumbue Wala kuwekeza kwa Wanawake na bado unatoka na zile First Class za Wanawake, Acha kutoa pesa kama lofa. Fanya hivi;
1. Jitambue wewe ni mwanaume.
Uanaume wako hauletwi na Fedha Wala vitu vya Nje isipokuwa Tabia na hulka Halisi ya kiume.
2. Wewe ni Mfalme, haupo kwaajili ya kumtumikia yeyote isipokuwa kutumikiwa.
3. Kuwa selective, usitoketoke hovyo na wanawake wasio na vigezo vya kiwango cha juu.
Tafuta wanawake First Class.
Usichafue Nyota kwa kutoka na wanawake hovyohovyo wasioeleweka
4. Usitoe pesa kwa Mwanamke ambaye Hana Pesa. Utakuwa Maskini mbuzi wewe.
Yaani usitoe pesa kwa mtu ambaye hawezi kuirudisha asilimia ishirini ya pesa uliyompa.
5. Hakikisha jina lako ni kubwa lenye heshima. Linda Brand.
Kwa mwanamke jina linamaana zaidi ya pesa utakazompa.
Jina lako likiwa dogo, hadhi ya chini, kuna possibility kubwa wanawake aina Fulani ukawakosa na wakakusumbua au ukasumbuka nao.
6. Hakikisha jamii iwe inajivunia uwepo wako popote ulipo.
Wanawake hawanaga ujanja mbele ya watu wenye Tija kwa Jamii. Kama huna Tija watakusumbua na utasumbuka Sana.
Iwe kwa kuwahonga au kuzungushwa kama Mpira wa Kona.
Watu wenye Tija ni assets na wanawake hupenda assets kuliko liabilities.
7. Jijenge na kujiimarisha na wapuuze Wanawake
Jenga jina lako. Fanya Kazi unayofanya kwa kiwango cha juu. Usiwe mbabaishaji.
Hakikisha watu wanakuhitaji na kuhitaji huduma yako.
Kama unataka kuhongwa na wanawake na Kula pesa Zao Hakikisha unabrand na Muda huohuo huna habari nao
Zingatia, Mwanamke hawezi toa pesa sehemu isiyo na pesa.
Fanya kama wanavyofanya wao. Usitoe pesa sehemu isiyo na Pesa.
Ukiona mwanamke anatoa pesa kwako na hauna pesa ujue hesabu zake ziko kamili. Anajua wewe ni assets kwa wakati ujao.
Moja ya dalili kuwa utafilisika au hautapata maendeleo ni kutoa pesa kwa Wanawake ambao hawana pesa.
Kama hujawahi pewa pesa na wanawake kuna uwezekano Mkubwa wewe Nyota yako iko chini na hutokuwa na mafanikio makubwa. Hivyo kuna namna ya kuibust Nyota.
Moja ya Mbinu za Muda wote wanazotumia matajiri na watu Wakubwa, na familia kubwa Duniani ni kutoa pesa kwa Wanawake wenye pesa. Ili usifilisike na kuleta Mikosi kwenye mfumo wako.
Kama unakipato cha Milioni Moja itakupasa utafute mwanamke mwenye kipato kisicho Pungua laki mbili unusu yaani Robo ya kipato chako kwenda juu.
Matajiri, ndio maana hata wakienda Kuoa lazima wazingatie familia wanayoenda kuoa inauchumi gani. Huwezi Peleka pesa sehemu isiyo na pesa. Utakufa Maskini. Mbuzi wee.
Wanawake wenyewe wanajua kuwa, hawawezi kushusha brand na kuzima Nyota Zao na kuzifubaza au kujipa Mikosi kwa Kutembea na wanaume Maskini au wenye Nyota ndogo au wasio na majina Makubwa.
Kwa mwanamke, kitendo cha wewe Maskini usiye na lolote kumfuata na kumshika Mkono au nguo yake. Atakasirika vibaya Mno. Hiyo ni Nature.
Wanawake wanapenda vitu vizuri, vikubwa, vyenye nguvu na vinavyovutia.
Ukiweza Kutembea na akili Zao ukazigeuza kwenye mambo ya utafutaji kufanikiwa ni hakika.
Kinachowafanya wanawake wasifanikiwe ni Kukosa akili za kiume(kutiisha) na Nguvu.
Acha nipumzike sasa
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam