Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

Yaani serikali wanaogopa hao wazungu watawabania misaada!
Hii ni sawa na mimi hapa eti kwa kuwa nina hali duni halafu kuna mwanamme tajiri mfano (Mooooo) awe ana ngoma lakini kwa kuwa atanipa pesa nyingi nikubali ani gonge kavu kavu!!!!
 
Hatimaye yalitimia sasa nchi Ni vilio na watalii Hakuna. Poor Tanzania
 
Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia.
Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya.

Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema haitapona, chukueni hatua tuokoe kizazi chetu.

---
Utabari wako umeshatimia mkuu
 
Back
Top Bottom