Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

Wataalihi ni hawa wageni wanaokuja nchini kutembelea vivutio?
 
Yaani serikali wanaogopa hao wazungu watawabania misaada!
Hii ni sawa na mimi hapa eti kwa kuwa nina hali duni halafu kuna mwanamme tajiri mfano (Mooooo) awe ana ngoma lakini kwa kuwa atanipa pesa nyingi nikubali ani gonge kavu kavu!!!!
 
Hatimaye yalitimia sasa nchi Ni vilio na watalii Hakuna. Poor Tanzania
 
Utabari wako umeshatimia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…