Nchii hii haipigia hatua kimaendeleo pamoja na kuwa na utajiri wa rasilimali kwa sababu ya CCM iliyojaza wapumbavu na machawa kama wewe. Wanachojua ni kuua na kugawana vyeo.Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke hivo basi kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo
Je ndiyo hizi hizi za ccm chafuzi chaguzi ama zile za Harvad university a global known institution?Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke hivo basi kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo
wewe hio inakusaidia kivp kama hauna maslahi binafsi na unaetaka awepo, ni uku tu ndo tunajadilia siasa kila skuHata wasomi wachache tunawahujumu, Sasa tutawekezaje kwenye Elimu Mkuu.
Nadhani CCM wananufaika sana na kua na watu wajinga, unserious on national agenda hivyo wangependa waendelee kukeep satatus quo ili waendeles kutawala.
Embu jiulize, Katolewa Tulia kawekwa zungu kwenye Uspika wa Bunge, How?
Na nchi ambazo hazina rasilimali walalamikie nn? acha ujinga kua productive, kila saa unakaa unawaza rasilimali niuzembeNchii hii haipigia hatua kimaendeleo pamoja na kuwa na utajiri wa rasilimali kwa sababu ya CCM iliyojaza wapumbavu na machawa kama wewe. Wanachojua ni kuua na kugawana vyeo.
ufisadi wewe unakukwamisha vp kufika maendeleo yako? ata kama mtu kaiba mil 200 akajenga nyumba ama kununua gari bado hio hela inarudi kuzunguka kwa wananchi wa kawaida, mfano nikijenga nyumba kwa pesa ya ufisadi maaana yake wauza nondo, cement, wajenzi wote wanapata ajira hivo mawazo ya kwamba haufanikiwi kwa sababu ya ufisadi hayana mantikHiyo ingefaa kama nchi ungekuwa inathamini utaifa wake.
Solution za nchi za kiafrika cha kwanza ni kuondoa ufisadi na siasa za hovyo zisizojali utaifa.
Wanaokwamisha maendeleo ya hii nchi ni jamii yetu inayotupa viongozi wabovu.
Hakuna nchi isokua na Rasilimali, zinapishana tu. Umaskini wa Tanganyika unasababishwa na CCM na machawa kama wewe, ndo maana tunahangaika na maji mpaka leo miaka 64 ya uhuru wakati tuna vyanzo vya maji vya kutosha.Na nchi ambazo hazina rasilimali walalamikie nn? acha ujinga kua productive, kila saa unakaa unawaza rasilimali niuzembe
rwanda ina rasilimali gan au burundiHakuna nchi isokua na Rasilimali, zinapishana tu. Umaskini wa Tanganyika unasababishwa na CCM na machawa kama wewe, ndo maana tunahangaika na maji mpaka leo miaka 64 ya uhuru wakati tuna vyanzo vya maji vya kutosha.
Wanazo, wana madini, misitu, ziwa kivu na nyinginezo.rwanda ina rasilimali gan au burundi
Kwenye mada yako hii; naondoa hayo maneno ya mwisho: "...ukikutwa unafanya siasa...."Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke
Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo
Unapojadili mada muhimu hii kwa majibu kama hili, inaonyesha wazi hujui mada yako inahusu nini.wewe hio inakusaidia kivp kama hauna maslahi binafsi na unaetaka awepo, ni uku tu ndo tunajadilia siasa kila sku
Tatizo liko wapi watu wakifanya siasa wakitaka,gharama ni zao na hawavunji sheria, kwanini mnapenda kubana bana watu kwa sababu zisizo na maana,watu sio wajinga kuacha shughuli zao kwenda kusikiliza every nonsense,acha waamueKwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke
Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo
Kwa akili hizi, giza la maendeleo Tanganyika hakutapambazuka.ufisadi wewe unakukwamisha vp kufika maendeleo yako? ata kama mtu kaiba mil 200 akajenga nyumba ama kununua gari bado hio hela inarudi kuzunguka kwa wananchi wa kawaida, mfano nikijenga nyumba kwa pesa ya ufisadi maaana yake wauza nondo, cement, wajenzi wote wanapata ajira hivo mawazo ya kwamba haufanikiwi kwa sababu ya ufisadi hayana mantik
Chawa wajinga kama wewe ndio mtaji wa mbogambogaKwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke
Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo