Njia pekee ya maendeleo katika nchi za Afrika ni kupitia elimu na tafiti

ufisadi wewe unakukwamisha vp kufika maendeleo yako? ata kama mtu kaiba mil 200 akajenga nyumba ama kununua gari bado hio hela inarudi kuzunguka kwa wananchi wa kawaida, mfano nikijenga nyumba kwa pesa ya ufisadi maaana yake wauza nondo, cement, wajenzi wote wanapata ajira hivo mawazo ya kwamba haufanikiwi kwa sababu ya ufisadi hayana mantik
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Upo sahihi sana
Ukosefu wa maarifa na ujuzi ndio chanzo cha maamuzi mabovu kisera, mipango na kiutendandaji.
Kutokuamini au kuzingatia utafiti ni matokeo ya kutokuwa na maarifa.
Kutokuzingatia utafiti ni sawa na kipofu kuvuka barabara bila kusaidiwa, hali hiyo imechangia kufanya tukosee sana katika maamuzi, mipango na sera. kibaya zaidi tukikosea hamna mtu anajari wala kuumia, kwani hata victims hawana knowledge stahili hivyo hawawezi kutambua au kujua kama tumejikwaa na tunaelekea shimoni. Huwa tunashtuka baada ya matokeo, ndio tunaanza kulaumu.
Laiti kama Bunge na Mabaraza ya madiwani wangekuwa na weledi na maarifa ya kutosha tusingekuwa hapa tulipo.
Bunge na Madiwani ndio wametoa mwanya ya kutokuwekuwepo accountability kwa watendaji na wamekuwa wakifanya maamuzi siyo tu mabovu bali yenye lengo la kupoteza hata kidogo kilichopo. Vyombo hivyo ni dhaifu sana na chanzo ni ukosefu waarifa, weledi na utamaduni usioimiza results and competitiveness.
Note:
!Elimu siyo Maarifa bali chanzo muhimu cha maarifa! Vyeti ni uthibitisho wa kiwango cha elimu lakini siyo indicator ya Maarifa!
!Maarifa yanaweza kuwa matokeo ya combination of factors zikiwemo utamaduni, IQ, exposure na au elimu!
!Maarifa ni mtaji mkubwa wa mafanikio na civiliation!

Naamini next generation watafanikisha pale sisi tulipokwama.
Mungu tusaidie
 
ELIMU ipi? Hii ya huyo Jambazi wako uliyemsave DP? hiyo elimu ya kupeana vyeti bandia kisa kujuana kisiasa?.
Elimu bora itaanza kwa kuondoa huu mfumo wa kihuni wa CCM ndipo ifuate mifumo ya masomo kwa wanafunzi watambue HAKI na WAJIBU ni vitu gani, UTU wa kweli ni kutenda mambo yapi, then ufumuliwe huu mfumo TAKATAKA wa hii elimu bandia ya kukalilishana upuuzi, na iunde elimu inayomfanya kijana aweze kuishi kwa kujitegemea na sio kuitegemea serikali impe ajira.
 
unayo point sehem flan however ukwel ni kwamba taifa letu ni la watu wavivu, nchi nyingi sana duniani rasilimali kuu ni elimu ya mtu mmoja mmoja lakini kwa upande wetu kila mtu ananyooshea kidole mambo ya utalii, dhahabu na mambo mengine kama hayo, kwa uku mtu mmoja mmoja hawataki kufanya kazi bali kunyooshea viongozi kidole kama sababu kuu ya kwann wao wana maisha duni, NI huzuni sana
 
unahitaji usaidizi mkubwa sana kuanzia elimu mpaka kifikra, ni ajabu kuona mwananchi anaamini ccm ndo chanzo cha umaskini wake
 
unayo point sehem flan however ukwel ni kwamba taifa letu ni la watu wavivu, nchi nyingi sana duniani rasilimali kuu ni elimu ya mtu mmoja mmoja lakini kwa upande wetu kila mtu ananyooshea kidole mambo ya utalii, dhahabu na mambo mengine kama hayo, kwa uku mtu mmoja mmoja hawataki kufanya kazi bali kunyooshea viongozi kidole kama sababu kuu ya kwann wao wana maisha duni, NI huzuni sana
mkuu mimi na wewe tunaongea lugha moja!
 
Tulia ambaye ni msomi anayejulikana mwenye sifa za kutosha kisheria alisaidiaje bunge, serikali na wananchi kwa jumla hata tufike mahali tuone tofauti ya watu hawa ukiacha vyeti vyao vya kitaaluma?
Embu jiulize, Katolewa Tulia kawekwa zungu kwenye Uspika wa Bunge, How?
Tulia amerithi wabunge 19 waliokosa sifa kisheria kuhudumu, aliishi nao mpaka ukomo wa bunge hilo.
Iko wapi sifa ya kisomi hapo?
Hawa ni wana siasa, muda mwingi wanatumikia matakwa ya kisiasa na si taaluma zao.
 
Back
Top Bottom