Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
SIYO KWELI HATA ASILIMIA 4% .. UTAFITI HAUWEZI KUMNUFAISHA MUAFRICA KWA SABABU HATA VITU VILIVYO KWISHA GUNDULIWA DUNIANI NA TAFITI ZAKE ZIPO OPEN TUMESHINDWA KUZITUMIA HIZO TAFITI NA VUMBUZI KUZALISHA CHOCHOTE ...... SASA TAFITI LENGO LAKE NI KUVUMBUA VUMBUZI MBALIMBALI ....SWALI LA LOGIC KAMA WAAFRICA TUMESHINDWA KUTUMIA MAMILIONI YA VUMBUZI ZILIZO VUMBULIWA NA WATAFITI MBALIMBALI, BASI TAFITI ZITA TUSAIDIA NINI ? TUMIA AKILI !Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke
Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo
ELIMU PIA AIWEZI KUTUONDOA KWENYE UMASIKINI ...VITU VITATU PEKEE AMBACHO VINAWEZA KUTUONDOA KWENYE UMASIKINI NI
1)AKILI
2)UZALENDO
3)UJENZI