Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Utadhan hawamjui vzr JpmNaukumbuka ule uzi wao wa "wabunge ambao mpaka Sasa wanasubiri kuapishwa", sijui matumaini huwa wanayatoa wapi hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
.... unazungumza kama Trump; ni ada ya washindwao kutafuta sababu za kushindwa hata kama wao ndio wako madarakaniHakuchaguliwa , alitangazwa tu kama njama ya Mahera ilivyopangwa
hivi ulikuwaje Platnum member wewe ? hii jf nayo imekusanya kila mizigo !.... unazungumza kama Trump; ni ada ya washindwao kutafuta sababu za kushindwa hata kama wao ndio wako madarakani
... ni kweli; kuna mizigo kama wewe ulivyo.hivi ulikuwaje Platnum member wewe ? hii jf nayo imekusanya kila mizigo !
Ilionekana wazi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, jamaa wakimzilia watajaa kijani tu bungeni jamaa hajaliUtadhan hawamjui vzr Jpm
Wanashinda kila siku kujadili Siasa lakini hawamjui JPM kuwa hataki kabisa kuwasikia Chadema ,
Unatamani kuufuta uzi lakini haiwezekani! Mjue kuweka akiba ya maneno.Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum
Heshimu ID Zote hasa za kati ya 2006-2009! Maana hawa ndio wameshiriki kikamilifu kuhakikisha JF ipo hapa ilipo. Kumbuka hawa walianzia Jambo forum! Haikuwa kazi ndogo!!!hivi ulikuwaje Platnum member wewe ? hii jf nayo imekusanya kila mizigo !
Mkuu, ninamuombea msamaha huyo muabudu wazungu! Naomba umsamehe! Zikijipanga sawa ataona makosa yake na kuyajutia. Ila kwa sasa chondechonde, naomba umsamehe.... ni kweli; kuna mizigo kama wewe ulivyo.
Chadema akili zao wanadhani JPM anaogoma tweet za kina pompeoIlionekana wazi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, jamaa wakimzilia watajaa kijani tu bungeni jamaa hajali
Unadhani kila platinum member atakuwa na mtazamo kama wako? Mbona wewe haujawa Sasa🤔?hivi ulikuwaje Platnum member wewe ? hii jf nayo imekusanya kila mizigo !
Mh. Niliifadhi ili andikoAmbaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
Hai ni miongoni mwa majimbo yenye wapiga kura wengi sasa iweje waanze kutangaza jimbo kubwa kama hilo wakati kuna vijimbo vina wapiga kura wachache.Kwahiyo ulitaka matokeo ya Jimbo gani yaanzwe kutangazwa ili huo uchaguzi yawe halali? Unaposema matokeo yalitangazwa bila kura kuhesabiwa, ina hamkua na mawakala kwenye vituo?
Kwa andiko hilo mwandishi alimuhusisha Mungu na kushindwa kwa Mbowe ubunge.Mh. Niliifadhi ili andiko
Rejea[emoji21]
Etiii, hiviii, Katiba inasema jimbo gani linapaswa kwanza kutangazwa matokeo yake?Hai ni miongoni mwa majimbo yenye wapiga kura wengi sasa iweje waanze kutangaza jimbo kubwa kama hilo wakati kuna vijimbo vina wapiga kura wachache.
Ilikuwa ni mkakati uliosukwa vema.
Ukirudia kusoma hi post unajionaje?Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.