Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Naukumbuka ule uzi wao wa "wabunge ambao mpaka Sasa wanasubiri kuapishwa", sijui matumaini huwa wanayatoa wapi hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhan hawamjui vzr Jpm

Wanashinda kila siku kujadili Siasa lakini hawamjui JPM kuwa hataki kabisa kuwasikia Chadema ,
 
Utadhan hawamjui vzr Jpm

Wanashinda kila siku kujadili Siasa lakini hawamjui JPM kuwa hataki kabisa kuwasikia Chadema ,
Ilionekana wazi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, jamaa wakimzilia watajaa kijani tu bungeni jamaa hajali
 
Kwahiyo ulitaka matokeo ya Jimbo gani yaanzwe kutangazwa ili huo uchaguzi yawe halali? Unaposema matokeo yalitangazwa bila kura kuhesabiwa, ina hamkua na mawakala kwenye vituo?
Hai ni miongoni mwa majimbo yenye wapiga kura wengi sasa iweje waanze kutangaza jimbo kubwa kama hilo wakati kuna vijimbo vina wapiga kura wachache.

Ilikuwa ni mkakati uliosukwa vema.
 
Mh. Niliifadhi ili andiko

Rejea[emoji21]
Kwa andiko hilo mwandishi alimuhusisha Mungu na kushindwa kwa Mbowe ubunge.
Sasa huyuhuyu aliyesema ni Mungu pekee ndio atakae mzuia Mbowe kuwa mbunge atalalamika kwamba Mbowe ameibiwa kura kwamba Mungu ameshindwa kuzuia wizi wa kura?
Tusimuhusishe Mungu na siasa zetu uchwara zisizo na muelekeo wa ukweli.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Hai ni miongoni mwa majimbo yenye wapiga kura wengi sasa iweje waanze kutangaza jimbo kubwa kama hilo wakati kuna vijimbo vina wapiga kura wachache.

Ilikuwa ni mkakati uliosukwa vema.
Etiii, hiviii, Katiba inasema jimbo gani linapaswa kwanza kutangazwa matokeo yake?
 
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .

Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Ukirudia kusoma hi post unajionaje?
 
Back
Top Bottom