kinachotokea ktk ulimwengubwa roho mtu anapojichua mapepo wabaya majini hupita kukusanya mbegu za wote wanajichua na kuzipeleka kuzimu.(ya wachawi,mapepo majini na shetani)
mbegu za mwanaume ndio zimebeba taarifa zake vinasaba DNA na uzao wake damu yake,hivyo ni nyota yake,zinapopelekwa ulimwengu wa kuzimu unakuwa wamechukua kitu cha thamani kwako,wanaenda kutumia wachawi,mapepo,shetani katika kazi zao za giza
unapata hasara na mbele za Mungu ni dhambi na dhambi ni mauti dhambi inakutenga na Mungu.
ukitubu dhambi na kuacha Mungu ni wa msamaha atakusamehe na atakurejeshea vyote alivyokuibia aduia katika ulimwengu usioonekana wa ROHO...