Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

Sijaweza kuacha
Mkuu bora upo tukiwa tunasoma comment hapa ila haijawahi leta side effect kwako?
Sababu ya kutaka kuacha ni ipi?
Kila siku zinavyoenda sihisi utamu naona kama najikuna shavu na ejaculation ndogo sekunde kadhaa ukichanganya na majuto Siipendi hii tabia
kama unashindwa kudhibiti hisia zako ,basi uanaume wako upo mwishoni
Duuh kivipi?
Unachotafuta utakipata. Wewe endelea tu.
Kipi hicho mkuu tuambiane mapema
 
Unaamua tu,

Mimi tokea mwezi wa tano sijui tarehe ngapi huko, sijajimenya

Ukifikiria mabaya yake basi uapata nguvu ya kuacha
Mkuu unademu labda au unampango mbadala wa kupeleka maziwa mtindi somewhere

Hapo kwenye kuamua mimi leo naamua maana nilianza kuamua toka nipo na miaka 14 mpaka leo sijawahi vusha mwezi
 
Back
Top Bottom