Njia rahisi ya kufikia Sudan Kusini ni ipi?

Njia rahisi ya kufikia Sudan Kusini ni ipi?

Ningependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii
Pita Kampala Uganda kwa sasa. Miaka zijazo utapita Nairobi kisha Turkana
 
Kule kugumu bora ya bongo, kaka yangu karud juzjuz sababu ya colona alikuwa kikazi, wanakula mabaki wanakuja kuomba, mifupa wakitupa wanaokota wanaosha wanakula wa tz wakarimu wakimaliza operations wanagawa nguo Kwao, yani wanazungukia walipo kambini wajesh mida ya misosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukrani mkuu
Kwani uko wapi?kama ni Dar chukua mabasi ya Kampala ukifika Kampala chukua malori hadi koboko
Usalama sio mzuri unaweza kuuwawa au kufungwa bila ya sababu

Nilikuta Mmasai muuza dawa kapigwa risasi za mfululizo kosa mtoto wao alikuwa anaumwa sana mmasai akapita na mkoba wake wa dawa wakanunua wakampa mtoto wao na usiku huohuo mtoto akakata roho

Basi mbona hapakutosha Mmasai akawindwa na kumiminiwa risasi za kutosha wale wenzake Mmasai walikimbia hadi Uganda

Kwa hiyo ni roho yako tu
 
Ningependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii
Sasa Mkuu kama hali ya usalama hujui ipoje?
Uimara wa sarafu hujui?
Fulsa za kibiashara hujui? Kinachokusukuma kutaka kuzamia katka hiyo nchi ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom