Njia rahisi ya kufikia Sudan Kusini ni ipi?

Njia rahisi ya kufikia Sudan Kusini ni ipi?

Safiri mpaka Kampala.Pale utapata magari mengi sana ya kwenda Juba.Maisha ya Sudan kusini ni ya kawaida tu na hali ya amani ni nzuri.machafuko hutokea lakini sio juba.ni miji ya jirani.Kuhusu biashara wengi wanajumulia biashara zao Uganda na kuzivusha Sudan.hali ya hewa ni kama umasaini tu.Kuwa makini na fata kilichokepeleka.

Sent using Jamii Forums mobile app
segitokamwene tuvayago tulipa kivembo ipa
 
Kama maisha ya hapa penye mvua na mabonde yenye maji yamekushinda utaweza kweli maisha ya jangwani? Hio nchi ina vita miaka na miaka majeshi ya serikali na ya waasi jumlisha jangwa wananchi wanategemea mifugo kama wamasai
ni kujaribu tu maisha,you never know
 
Kutokea Kampala,UG ni rahisi sana kufika South Sudan
 
kwa ndege ni ug shs ngap?
Kwa ndege Unatokea wapi? Dar.?
Uganda kwenda Sudani kusini ni karibu sana ndo maana kampala kuna wasudani wengi sana!! Kuna basi zinatokea kampala kwenda Sudani kusini..ni rahisi kufika
 
Kwa ndege Unatokea wapi? Dar.?
Uganda kwenda Sudani kusini ni karibu sana ndo maana kampala kuna wasudani wengi sana!! Kuna basi zinatokea kampala kwenda Sudani kusini..ni rahisi kufika
kutokea kampala
 
Njia rahisi ni kupitia Uganda
Usalama kwa sasa upo, ukizingatia mwaka jana mwishoni viongozi wametia saini ya makubaliano ya amani
Sarafu yak wameifix kwa dollar 5 ya marekani, lakini dollar inathamani kubwa

Waganda na wakenya wapo wengi kwa ajili ya fursa iliyokuwepo sababu jamaa wengi wakule hawapendi kazi...
Rushwa imetamalaki....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni mtaalamu wa ujenzi wa majumba ya kawaida,maghorofa,madaraja pia vipi unaonaje nikienda huko naweza pata fursa?
 
Back
Top Bottom