Njia rahisi ya kufikia Sudan Kusini ni ipi?

Safiri mpaka Kampala.Pale utapata magari mengi sana ya kwenda Juba.Maisha ya Sudan kusini ni ya kawaida tu na hali ya amani ni nzuri.machafuko hutokea lakini sio juba.ni miji ya jirani.Kuhusu biashara wengi wanajumulia biashara zao Uganda na kuzivusha Sudan.hali ya hewa ni kama umasaini tu.Kuwa makini na fata kilichokepeleka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fika kwanza kampala alafu utafute mabasi yanayoenda mkoa wa gulu ukifika pale kuna vidaladala vitakupeleka mpaka mpakani mwa south sudan na uganda. kwa sarafu yao ipo vizuri, wanatumia sudanese pound
 
mkuu pambania uzima kwanza corona ni hatari sheikhe
 
fika kwanza kampala alafu utafute mabasi yanayoenda mkoa wa gulu ukifika pale kuna vidaladala vitakupeleka mpaka mpakani mwa south sudan na uganda. kwa sarafu yao ipo vizuri, wanatumia sudanese pound
pound moja ya sudan ni kama shilingi ngap?
 
Ningependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii
Njia rahisi ni kupitia Uganda
Usalama kwa sasa upo, ukizingatia mwaka jana mwishoni viongozi wametia saini ya makubaliano ya amani
Sarafu yak wameifix kwa dollar 5 ya marekani, lakini dollar inathamani kubwa

Waganda na wakenya wapo wengi kwa ajili ya fursa iliyokuwepo sababu jamaa wengi wakule hawapendi kazi...
Rushwa imetamalaki....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza pole maana nimeona wengi wamekupa matango pori, sudan kusini hususani juba mji mkuu maisha ya kawaida sn na biashara zao wengi wanakuja kuhemea kampala, ukifika kampala wasudan ni wengi mnoooooo, usalama upo wa kutosha tu cha msingi usipeleke ujuaji sn wa kibongo kwenye nchi za watu kuhusu pesa jamaa wanatumia dola sn so pesa yao ipo juu sana, biashara za kufanya sudan kama utakua na msingi basi ni vyakula na vyombo vya ndani ni dili sn mkuu . wish you all the best

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika wewe Ni mwenyejiiiii

shukrani mkuu
 
Safiri mpaka Kampala.Pale utapata magari mengi sana ya kwenda Juba.Maisha ya Sudan kusini ni ya kawaida tu na hali ya amani ni nzuri.machafuko hutokea lakini sio juba.ni miji ya jirani.Kuhusu biashara wengi wanajumulia biashara zao Uganda na kuzivusha Sudan.hali ya hewa ni kama umasaini tu.Kuwa makini na fata kilichokepeleka.

Sent using Jamii Forums mobile app
shukran sanaa
 
Kama maisha ya hapa penye mvua na mabonde yenye maji yamekushinda utaweza kweli maisha ya jangwani? Hio nchi ina vita miaka na miaka majeshi ya serikali na ya waasi jumlisha jangwa wananchi wanategemea mifugo kama wamasai
 
Back
Top Bottom