guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
MKUU KWANI HUWA UNASIKILIZA RADIO KWELI? HASA TAARIFA YA HABARI? 🤔Usalama ukoje?
Usalama wa Sudan Kusini upo mikononi mwa mtu. [emoji3]MKUU KWANI HUWA UNASIKILIZA RADIO KWELI? HASA TAARIFA YA HABARI? [emoji848]
Unapitia Mbeya.Ningependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii
Pita Kampala Uganda kwa sasa. Miaka zijazo utapita Nairobi kisha TurkanaNingependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii
shukrani mkuuLile taifa bado changa sijui kama lina fursa za kuzamia kusaka maisha.
Nasikiliza ila siyo kama ninavyofuatilia inshu za hapa homeMKUU KWANI HUWA UNASIKILIZA RADIO KWELI? HASA TAARIFA YA HABARI? 🤔
funguka mkuu kwann huko na siyo Sudan?Bora uende Zimbabwe.
Shukrani mkuu,sarafu yake ni imara kuliko shillingi yetu?Pita Kampala Uganda kwa sasa. Miaka zijazo utapita Nairobi kisha Turkana
ahahahaUnapitia Mbeya.
ok,sarafu yake ni imara kuliko shillingi yetu?Panda ndege tu Hadi Khartoum Kisha unaingia juba kiulaini
Ndotoni labdaok,sarafu yake ni imara kuliko shillingi yetu?
Kwani uko wapi?kama ni Dar chukua mabasi ya Kampala ukifika Kampala chukua malori hadi kobokoshukrani mkuu
Sasa Mkuu kama hali ya usalama hujui ipoje?Ningependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii