Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Sasa Mkuu kama hali ya usalama hujui ipoje?
Uimara wa sarafu hujui?
Fulsa za kibiashara hujui? Kinachokusukuma kutaka kuzamia katka hiyo nchi ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 yani ni sawa na kula kwa ngiri ni ushapu wa meno yake mkuu🤔Usalama wa Sudan Kusini upo mikononi mwa mtu. [emoji3]
Kule ndiyo kuna fursa za bureLile taifa bado changa sijui kama lina fursa za kuzamia kusaka maisha.
Elezea mkuu japo kidogo.
Mkuu na kushauri uzamie ChatoNingependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii
Wewe pimbi nenda kasubiri ugali wa kunyenyekea acha wanaume wakale kwa jasho lao.watu kama nyinyi ni kupewa block ya IP address kabisa kiasi kwamba JF unasikia kwenye gumzoMkuu na kushauri uzamie Chato
ahahaha,mkuu kuna korona hukoMkuu na kushauri uzamie Chato
shukran mkuuPesa yao ni kubwa maana wanatumia Pound. Nakumbuka nilichange 50$ nikapewa Pound Elfu 16500. Sasa hapo piga hesabu 50$ sawa na zaidi ya 120000 ya Tz.
Mambo mengi nimekufafanulia hiko Inbox. Nadhani yatakusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran mkuu
Ni kweli lakini binadamu tunatofautiana
pound moja ya sudan ni kama shilingi ngap?fika kwanza kampala alafu utafute mabasi yanayoenda mkoa wa gulu ukifika pale kuna vidaladala vitakupeleka mpaka mpakani mwa south sudan na uganda. kwa sarafu yao ipo vizuri, wanatumia sudanese pound
Njia rahisi ni kupitia UgandaNingependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini
Nafikaje huko?
Usalama ukoje?
Uimara wa sarafu yao ukoje?
Fursa za biashara zipoje?
Natanguliza shukranii
Hakika wewe Ni mwenyejiiiiiMkuu kwanza pole maana nimeona wengi wamekupa matango pori, sudan kusini hususani juba mji mkuu maisha ya kawaida sn na biashara zao wengi wanakuja kuhemea kampala, ukifika kampala wasudan ni wengi mnoooooo, usalama upo wa kutosha tu cha msingi usipeleke ujuaji sn wa kibongo kwenye nchi za watu kuhusu pesa jamaa wanatumia dola sn so pesa yao ipo juu sana, biashara za kufanya sudan kama utakua na msingi basi ni vyakula na vyombo vya ndani ni dili sn mkuu . wish you all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani mkuuMkuu kwanza pole maana nimeona wengi wamekupa matango pori, sudan kusini hususani juba mji mkuu maisha ya kawaida sn na biashara zao wengi wanakuja kuhemea kampala, ukifika kampala wasudan ni wengi mnoooooo, usalama upo wa kutosha tu cha msingi usipeleke ujuaji sn wa kibongo kwenye nchi za watu kuhusu pesa jamaa wanatumia dola sn so pesa yao ipo juu sana, biashara za kufanya sudan kama utakua na msingi basi ni vyakula na vyombo vya ndani ni dili sn mkuu . wish you all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran sanaaSafiri mpaka Kampala.Pale utapata magari mengi sana ya kwenda Juba.Maisha ya Sudan kusini ni ya kawaida tu na hali ya amani ni nzuri.machafuko hutokea lakini sio juba.ni miji ya jirani.Kuhusu biashara wengi wanajumulia biashara zao Uganda na kuzivusha Sudan.hali ya hewa ni kama umasaini tu.Kuwa makini na fata kilichokepeleka.
Sent using Jamii Forums mobile app