Njia rahisi ya kufikia Sudan Kusini ni ipi?

segitokamwene tuvayago tulipa kivembo ipa
 
Kama maisha ya hapa penye mvua na mabonde yenye maji yamekushinda utaweza kweli maisha ya jangwani? Hio nchi ina vita miaka na miaka majeshi ya serikali na ya waasi jumlisha jangwa wananchi wanategemea mifugo kama wamasai
ni kujaribu tu maisha,you never know
 
Kutokea Kampala,UG ni rahisi sana kufika South Sudan
 
kwa ndege ni ug shs ngap?
Kwa ndege Unatokea wapi? Dar.?
Uganda kwenda Sudani kusini ni karibu sana ndo maana kampala kuna wasudani wengi sana!! Kuna basi zinatokea kampala kwenda Sudani kusini..ni rahisi kufika
 
Kwa ndege Unatokea wapi? Dar.?
Uganda kwenda Sudani kusini ni karibu sana ndo maana kampala kuna wasudani wengi sana!! Kuna basi zinatokea kampala kwenda Sudani kusini..ni rahisi kufika
kutokea kampala
 
Mkuu ni mtaalamu wa ujenzi wa majumba ya kawaida,maghorofa,madaraja pia vipi unaonaje nikienda huko naweza pata fursa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…