Digital base
Senior Member
- Jul 19, 2020
- 131
- 199
Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi.
Vifaa.
1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles
2.Gloves
3.Mask
4.Viatu vya kufinika miguu.
5.Brash ngumu kubwa na
ndogo.
NAMNA YA KUSAFISHA
Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha fungua dawa yako mwagia katika sink na utandaze kwa brash sehemu zote zenye uchafu sugu.
Mwagia katika Tiles na utandaze kwa brash sehemu zote zenye uchafu sugu na kwa zile za ukutani chovya brash katika dawa na upake maeneo yote yenye uchafu.
Kisha acha kwa dk.30 na uanze kusugua taratibu katika sink lako ama tiles usiende haraka sugua taratibu kwa dakika 40 katika sink na Tiles.
Mwagia maji kuondoa uchafu ulio kama tope ili kuacha mng'ao wa tiles na sink lako.
Hakikisha maji ya sabuni hayabaki katika sink ama tiles kila unapo oga ili kuzuia kurudia kwa unjano.
Je ume jaribu njia hizo na hujaona matokeo uliyo tarajia na unge penda uwe shuhuda unaye fata kwa kuondokana na tatizo la uchafu sugu nyumbani au ofisini kwako?
Kama jibu ni NDIO basi niambie una taka mimi nikusaidie nini katika kung'arisha masink yako na Tiles zako ili kurudia upya tena?
Karibu nikusaidie kuondokana na tatizo hilo la uchafu sugu kwa kutumia njia sahihi na ya muda mfupi pasipo kupoteza muda wako na hela katika njia ambazo hazi fanyi kazi.
Nitafute WhatsApp kwa number 0787181643
Tazama picture za mfano hapa chini kabla na baada ya kusafisha.