Njia rahisi ya kupata number ya mkaka/ mdada unayemcrushia

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake.

Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu yako Kisha mwambie Simu yako imezima kwa hiyo mkapige picha pamoja kwa kutumia Simu Yake.

Wakati wa kuondoka basi jisogeze kwake Kisha mwambie Kama hatojali umpe number yako ili baadae akutumie hyo picha Kwenye what's up ili na wewe uweze kutunza kumbukumbu ya tukio kupitia ile picha.
Hapa natumai utakuwa na lengo Moja tu la kupata number ya huyo mdada/ mkaka Wala huna haja na hiyo picha😂

Akishakutumia picha mliopiga pamoja Kwenye what's up baaasi, number Yake utakuwa umeipata kirahisi namna hiyo.Kisha utaanza process ya kumtongoza pole pole mpaka anaingia kingi mazima😂😂
 
Shule zinafungua lini jamani?
 
Process ndefu Sanaa
 

Kudanga class 101.
 
Mbinu ya kiboya kabisa
 
😂😂 Basi we jamaa Ni hatari Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…