Njia rahisi ya kupata number ya mkaka/ mdada unayemcrushia

Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake.

Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu yako Kisha mwambie Simu yako imezima kwa hiyo mkapige picha pamoja kwa kutumia Simu Yake.

Wakati wa kuondoka basi jisogeze kwake Kisha mwambie Kama hatojali umpe number yako ili baadae akutumie hyo picha Kwenye what's up ili na wewe uweze kutunza kumbukumbu ya tukio kupitia ile picha.
Hapa natumai utakuwa na lengo Moja tu la kupata number ya huyo mdada/ mkaka Wala huna haja na hiyo picha😂

Akishakutumia picha mliopiga pamoja Kwenye what's up baaasi, number Yake utakuwa umeipata kirahisi namna hiyo.Kisha utaanza process ya kumtongoza pole pole mpaka anaingia kingi mazima😂😂
Mbinu za wapoloo
 
Utongozaji wa kizamani we fala tafuta mmoja uache ushamba wa kuwaza ngono ili upambane na umasikini wanawake hawataisha utaisha wewe.
 
Kuna mdada humu mwaka 2020 aliwahi kusema kwamba wanaume wa kisasa 95% hawawezi kutongoza ana kwa ana, kwamba wanatongozea kwenye thimu!

wakuu tunaingia 2023! shauri yako
 
Ukijiona huwez kutongoza mwanamke had uwe na gari, hadi uwe umependeza, hadi uwe na sim Kali, had ujifagilie kuwa una pesa na sifa zingine za kijinga, au mbinu uchwara Kama hizi za kujidai simu ilizima ujue we ni mwanaume usie jiamini.

Mimi ni miongoni mwa wanaume wachache waliobaki ambao kutongoza hatuhitaji kupata namba ya simu, namba ntachukua tu ili iwe rahisi kukutana nae na sitatumia njia ndefu kumuomba, na nikiipata simtongozei WhatsApp namuita nimchane mbele ya macho yake

Mkuu unatumia kinywaji gani nikupe ofa [emoji123]
 
Kazi yote ya nini? Si umuombe tu?

Mi siku hizi huwa natongoza kwanza, then itajulikana kama tunapeana namba.
 
Kuna mdada humu mwaka 2020 aliwahi kusema kwamba wanaume wa kisasa 95% hawawezi kutongoza ana kwa ana, kwamba wanatongozea kwenye thimu!

wakuu tunaingia 2023! shauri yako
😂😂
 
Ishakua kamzozo hapa nielekee kwenye mateka wima na soda mweleka.
 
Ukijiona huwez kutongoza mwanamke had uwe na gari, hadi uwe umependeza, hadi uwe na sim Kali, had ujifagilie kuwa una pesa na sifa zingine za kijinga, au mbinu uchwara Kama hizi za kujidai simu ilizima ujue we ni mwanaume usie jiamini.

Mimi ni miongoni mwa wanaume wachache waliobaki ambao kutongoza hatuhitaji kupata namba ya simu, namba ntachukua tu ili iwe rahisi kukutana nae na sitatumia njia ndefu kumuomba, na nikiipata simtongozei WhatsApp namuita nimchane mbele ya macho yake
Nakutaka
 
Umaskini ndo unakufanya utukane hovyo bila sababu ya msingi pumbavu!
Tajiri hana muda wa kuandika topic mbovu zisizo na kichwa wala miguu kama huna kitu kichwani jifunze kwenye topic za wataalamu wabobevu mtafute Robert Heriet atakusaidia kisaikolojia.
 
Mimi huwa nachukua namba zao kwa kuwaomba kuwapiga picha kutumia simu yangu

Hii simu ni hatari sana kwenye camera yaani nikishampiga/wapiga picha mbili tatu halafu nikawaonyesha hizo picha huwa nasikia waoooooooooo jamani picha nzuri

Nitumie/tutumie hizo picha

Hapo hapo naomba naomba yake/zao nawatumia kwa njia ya what's App halafu nazituma kwa njia ya documents inamfikia kama zilivyopigwa

HUO HUWA NI MWANZO MWEMA NA YAJAYO HUWA YANAFURAHISHA
 
Back
Top Bottom