Njia rahisi ya kutoka ni kuanzisha Kanisa au Chama cha siasa

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Wakuu,

Kwa utafiti niliofanya kidogo tu ni kwamba ukitaka kutoka kimaisha kwa njia rahisi na nyepesi nikuanzisha chama cha siasa au kanisa la kuondoa mapepo.

Imekuwa ni rahisi sana kukusanya michango kwenye makongamano ya kiroho (fukuza pepo) au makangamano ya kisiasa kama wenzetu wa chadema wanavyofanya .
 
Kukamata akili za waafrika huitaji nguvu kubwa
Mwafrika anavutiwa na attention kuliko reality ya mambo
 
Inasikitisha sana aisee ,mzee Mbowe anatembeza bakuli la kukusanya michanga kama wafanyavyo akina Mwingira
 
Bara la Africa Bado lina walemavu wengi sana wa akili ambao ni mtaji kwa watu wachache watakaoamua kuzitumia kwa faida yao.......... hakika hili ni bara la Giza
 
Inasikitisha sana aisee ,mzee Mbowe anatembeza bakuli la kukusanya michanga kama wafanyavyo akina Mwingira
Namkubali sana Mbowe. Ana akili. Kuwa na ushawishi sio jambo dogo. Siku zote ukiona mtu ana wafuasi na wanatii ujue aidha kawazidi akili au ana mtazamo unaokubalika na wengi. Simply yupo smart.

Mbowe ni mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa Tz. Wacha akusanye sadaka.
 
Back
Top Bottom