Kuna nyuzi kabla ya kufungua wala kukoment inabidi ujifunike na Damu ya Yesu. Hii ni moja wapo, msipoangalia mnaweza kuwa connected kwenye cult ya mleta mada hivi hivi.
Naharibu na kuteketeza nia, mpango, madhumuni yalio nyuma ya uzi huu kwa Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth na Moto wa Roho Mtakatifu.
Naituma Damu ya Yesu Krito kuteketeza madhabahu anayoitumia mleta mada na ninamtia upofu na uwete kuhani wa madhabahu hiyo kwa Damu ya Mwanakondoo wa Mungu ambaye ndiye Kuhani Mkuu.
Naifunika comment hii kwa Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth.
Amina.
Kuna nyuzi kabla ya kufungua wala kukoment inabidi ujifunike na Damu ya Yesu. Hii ni moja wapo, msipoangalia mnaweza kuwa connected kwenye cult ya mleta mada hivi hivi.
Naharibu na kuteketeza nia, mpango, madhumuni yalio nyuma ya uzi huu kwa Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth na Moto wa Roho Mtakatifu.
Naituma Damu ya Yesu Krito kuteketeza madhabahu anayoitumia mleta mada na ninamtia upofu na uwete kuhani wa madhabahu hiyo kwa Damu ya Mwanakondoo wa Mungu ambaye ndiye Kuhani Mkuu.
Naifunika comment hii kwa Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth.
Amina.
Nimejaribu hamna kitu kimetokea. Hizo kamba tu
fikiri ndani ya box kabla ya kutoka humo, chanzo cha wamoefili (majitu) ni wana wa Mungu (malaika) kuwaka tamaa kwa mabinti wa Adam waliozidi kuwa warembo.
Malaika si wanawake wala si wanaume,hawali wala hawanywi,na wala hawana matamanio.Hawana sifa ya kumuasi Mwenyezi Mungu na wanafanya kila wanachoaagizwa na Mola wao,Hawa wametakaswa;hawashiriki kwenye batili.
Nilitarajia ungeuliza hilo mkuu! NI kweli walikua wanaume.Moja ya uwezo mkubwa waliopewa hawa malaika ni KUJIBADILISHA UMBO LOLOTE wanalotaka kulingana muktadha husika.Hawatokei mahali kwa maumbo yao ya asili.
Ndiyo hivi mnavyoifafanua Biblia?
kuwaka tamaa ni kutenda Dhambi kulingana na zile Amri kumi zilizotolewa.
kuvunja amri za Mungu ni kumuasi huyo Mungu.kwahiyo hao Malaika uliyowataja walimuasi mungu wakiwa duniani
Sasa,unaweza kuniambia ni Malaika gani waliomuasi mungu hapa duniani?
Usiniambie ni Mashetani,kwasababu shetani na wenzake waliasi zamani sana wakiwa Mbinguni na si Duniani.
uchambuzi wako unajichanganya, nimeshindwa kukuelewa.
umetudanganya....katika stori ya sodoma na gomora wale malaika wsliotaka kuliwa kiboga walikuwa wa kike ama wa kiume...na je muda wote ule walio ishi pale kwa ruthu mbona tuliambiwa walikaribishwa wakawa wanakula na kunywa??
walioleta hukumu ya sodoma wanaume,
aliyekuja kutangaza kuzaliwa samsoni mwanaume,
aliyepigana na yule aliyetoka kumuoa binamu yake mwamaume,
.
.
.
unaweza kuendelea hivyo siku nzima, unaweza nipa mfano walipokuja kwa umbo au jinsia nyingine?
Mkuu sorry,nilikuwa sijajua unachokiamini wewe nimeshafahamishwa na wadau.Sasa nilichoandika kwa imani na ufahamu wako hakitakuwa sahihi,uko sahihi kutokana na imani yako.My apology.Sijasema unakurupuka kaka! Huwa naheshimu mawazo ya watu kwa sababu binadamu tunafautiana kwa mambo mengi.
Lucifer SIO malaika.Lucifer au shetani ni JINI.Alichukuliwa kwenda kuishi na malaika sababu ya uchamungu wake kabla ya kuasi.Historia yake ni ndefu sana ya kwa nini akaishi na malaika na ilikuaje akaasi na kulaaniwa.
Mkuu ua roho ngumu sana, sikufikiria kama kuna mtu anaweza kujaribu
teh teh teh
hiyo ndiyo akili Mtu mweusi,wakati whites wanatengeneza time machine,black anamtafuta "jini mpole".......i'm quite dumbfounded
Donald trump was right...!
Na mchanga wa kaburi sijui aliuchukua usiku au nchana,na jaburi halikumtisha kama ni usiku
Mkuu sorry,nilikuwa sijajua unachokiamini wewe nimeshafahamishwa na wadau.Sasa nilichoandika kwa imani na ufahamu wako hakitakuwa sahihi,uko sahihi kutokana na imani yako.My apology.