Njia Rais ya kuwa relevant ni kuongea ukweli haijalishi watu watauopokeaje.!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft

Ila ongea ukweli tu.

Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa

Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement

Don't play someone's game

Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.

You can't be relevant anymore

Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja

Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.

Vijana sio punching bag

KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
 
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft

Ila ongea ukweli tu.

Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa

Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement

Don't play someone's game

Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.

You can't be relevant anymore

Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja

Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.

Vijana sio punching bag

KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
asante kwa ukweli gentleman,
uanawakoa vijana wengi sana kubebwa ufala wa kifikra na hao digital sadism content creators.

Thank you very much:NoGodNo:
 
Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft

Ila ongea ukweli tu.

Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa

Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement

Don't play someone's game

Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.

You can't be relevant anymore

Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja

Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.

Vijana sio punching bag

KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Akubali kutekwa?
 
CCM wawe wakweli kwenye kukiri mauaji, utekaji na kuendesha uchaguzi wa ulaghai
CCM na Samuya ndo chanzo cha yote
 
Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft

Ila ongea ukweli tu.

Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa

Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement

Don't play someone's game

Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.

You can't be relevant anymore

Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja

Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.

Vijana sio punching bag

KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
A mishmash of total confusion!!????

1. Tofauti ya wanaharakati na vijana ni ipi?
2. Wenye kazi/ajira halali hawawezi kuwa wanaharakati?
3. Wanaharakati ni kina nani hasa?
4. Kushinda JF kuhanikiza propaganda za dola sio uanaharakati?
n.k., n.k., ...

Nchi ngumu sana hii.
 
Safari hii , ndo mwisho wenu wa Propaganda
Mbona unaongea kinyume, serikali ya samuya inachoweza ni kupiga propaganda tuu...isivyo na viongozi wenye akili haijui jamii imebadilika haidanganyiki tena, raia zinawachora tu mnavyopuyanga!

Siasa imefanya ccm pekeyake ingawa bado wananchi walimkataa samuya oct 29, chadema kama chama kikuu cha upinzani kimezuiwa kufanya siasa muda mrefu sasa...usiniulize kuhusu act na chauma!
 
Ukweli wa kanza aseme kama watu milioni 31 walipiga kura na alipata 98%.
 
Back
Top Bottom