DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft
Ila ongea ukweli tu.
Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa
Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement
Don't play someone's game
Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.
You can't be relevant anymore
Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja
Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.
Vijana sio punching bag
KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Mbwa wa Samia huyu amewehuka.Vp mbona umepanic sana. damu za watu inakutesa sana.omba toba kwa MUNGU utasemehewa.huo mzgo uliokuwanao moyon ni mkubwa sana.POLE SANA
asante kwa ukweli gentleman,Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft
Ila ongea ukweli tu.
Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa
Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement
Don't play someone's game
Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.
You can't be relevant anymore
Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja
Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.
Vijana sio punching bag
KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Akubali kutekwa?Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft
Ila ongea ukweli tu.
Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa
Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement
Don't play someone's game
Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.
You can't be relevant anymore
Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja
Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.
Vijana sio punching bag
KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
CCM wawe wakweli kwenye kukiri mauaji, utekaji na kuendesha uchaguzi wa ulaghai
CCM na Samuya ndo chanzo cha yote
Safari hii , ndo mwisho wenu wa Propagandadamu zisizo na hatia zinawatekenya marinda
Kataa woga ili utetee kizazi chakoKataa maandamano linda uhai wako .
This is Africa
A mishmash of total confusion!!????Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft
Ila ongea ukweli tu.
Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa
Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote Vya Tanzania vijiandae kuathirika na hii movement
Don't play someone's game
Na wanaharakati anzeni kutafuta Kazi za halali.
You can't be relevant anymore
Kuwa relevant ni Kuweza kukubalika zaidi ya Kizazi kimoja
Na hili uwe relevant lazima usimamie ukweli.
Vijana sio punching bag
KIJANA LINDA UHAI WAKO LINDA NCHI YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA KUTUMIKA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Mbona unaongea kinyume, serikali ya samuya inachoweza ni kupiga propaganda tuu...isivyo na viongozi wenye akili haijui jamii imebadilika haidanganyiki tena, raia zinawachora tu mnavyopuyanga!Safari hii , ndo mwisho wenu wa Propaganda