Njia sahihi ya kufanya mazoezi - Shika jembe toa jasho kwishaa

Njia sahihi ya kufanya mazoezi - Shika jembe toa jasho kwishaa

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
201
Reaction score
116
Ukiwa na ratiba ya kufanya kazi za mikono/Physical activies kama vile kulima, yani unachukua jembe unalima unatoa jasho unakuwa umepata faida mbili kwanza unakuwa umelima bustani ya matunda au mboga au garden na hapo unakuwa umechoma burn calories mwilini.

Aliwahi kusema Dr. Howard Tucker, the oldest practicing Doctor in the world, mambo mawili yatakayokufanya kuwa active 1. Daily Physical activities and 2. make your brain active through daily reading and getting new knowledge.
 
Chief kuna tofauti kati ya kufanya mazoezi na kufanya kazi coz mapigo ya moyo ukiwa unalima ni tofauti kabisa na ukiwa unakimbia.



Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Lengo kubwa mkuu ni kuchoma Calories ulizotumia au ulizokula na Calories ulizozichoma. Unapofanya kazi au mazoezi ina maanda unachoma kile kiasi cha calories za ziada ambazo hazihitajiki mwilini. Mfano ukila wanga unatengeneza mafuta ambayo kama hutayaondoa unaongezeka uzito. sasa ukiwa unafanya kazi za mikono na ukahakikisha jasho linakutoka unakuwa umefanya jambo kutumia nguvu zako kutekeleza jambo lenye faida na pili unakuwa umechoma mafuta mwilini.
 
Hiyo ni sahihi sana ila sasa watakuja madr wetu watushauri kwamba hapo kwenye mgongo kitaalam kuna mishipa gani sijui ya neva za fahamu ikipata crack kidogo au nini sijui unalala maisha.. Yanatisha akiongea yeye kitaalam
 
Yani kwamba kulima inasababisha hiyo mishipa kukatika, sasa siungekuta wakulima wote wana shida wakati wakulima wanadunda na afya njema...
 
Hiyo ni sahihi sana ila sasa watakuja madr wetu watushauri kwamba hapo kwenye mgongo kitaalam kuna mishipa gani sijui ya neva za fahamu ikipata crack kidogo au nini sijui unalala maisha.. Yanatisha akiongea yeye kitaalam
Yani kwamba kulima inasababisha hiyo mishipa kukatika, sasa siungekuta wakulima wote wana shida wakati wakulima wanadunda na afya njema...
 
Unapofanya kazi au mazoezi ina maanda unachoma kile kiasi cha calories za ziada ambazo hazihitajiki mwilini
Mkuu naomba kujua mtu unajuaje kwamba nina calories nyingi ama chakula nilichokula ni kingi hivyo nikipunguze kwa mazoezi,unatumia kipimo gani kujua jambo hilo la kuzidi kwa calories ?
sasa ukiwa unafanya kazi za mikono na ukahakikisha jasho linakutoka unakuwa umefanya jambo kutumia nguvu zako kutekeleza jambo lenye faida na pili unakuwa umechoma mafuta mwilini.
Mafuta(akiba ya mwili) ili uyachome inatakiwa kusiwe na option ya source nyingine ya mwili kuzalisha hapo ndipo mwili utaanza kuchokonoa mafuta na kusnza kuyatumia.

Je suala la kwamba punde tu unapoanza zoezi na kutoka jasho dakika au masaa kadha ati kwamba ndo umechoma mafuta lina ukweli gani tukizingatia kwamba mafuta kuchomwa ni last option ya mwili ?
 
Kwa wanaoishi Dar waogelee ndani ya maji ya Mafuriko,ni mazoezi tosha.
 
Back
Top Bottom