Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
- Thread starter
- #21
Kiasi cha Energy unayotumia wakati wa kufanya kazi yoyote inayokufanya unatoa jasho basi hapo unachoma Calories. Kiasi cha energy iliyo mwilini inatakiwa kiondoke na kuondoka ni kufanya shuguli kama kazi za mikono au kutembea au kukimbia. ukitaka kujua kuwa una kiasi cha ziada unachotakiwa kukitoa mwilini kuna njia ya BMI yaani chukua urefu wako toa 100 kinachobakia basi ndio uzito sahii unaotakiwa kuwa nao ikiwa zaidi uzito umezidiMkuu naomba kujua mtu unajuaje kwamba nina calories nyingi ama chakula nilichokula ni kingi hivyo nikipunguze kwa mazoezi,unatumia kipimo gani kujua jambo hilo la kuzidi kwa calories ?
Mafuta(akiba ya mwili) ili uyachome inatakiwa kusiwe na option ya source nyingine ya mwili kuzalisha hapo ndipo mwili utaanza kuchokonoa mafuta na kusnza kuyatumia.
Je suala la kwamba punde tu unapoanza zoezi na kutoka jasho dakika au masaa kadha ati kwamba ndo umechoma mafuta lina ukweli gani tukizingatia kwamba mafuta kuchomwa ni last option ya mwili ?
Mfano una urefu wa SM 180 hapo toa 100 unabakiwa na 80 huo ndio uzito sahihi unaotakiwa kuwa nao ikiwa zaidi hapo fanya zoezi... lima mzee...