Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
Lengo kubwa mkuu ni kuchoma Calories ulizotumia au ulizokula na Calories ulizozichoma. Unapofanya kazi au mazoezi ina maanda unachoma kile kiasi cha calories za ziada ambazo hazihitajiki mwilini. Mfano ukila wanga unatengeneza mafuta ambayo kama hutayaondoa unaongezeka uzito. sasa ukiwa unafanya kazi za mikono na ukahakikisha jasho linakutoka unakuwa umefanya jambo kutumia nguvu zako kutekeleza jambo lenye faida na pili unakuwa umechoma mafuta mwilini.Chief kuna tofauti kati ya kufanya mazoezi na kufanya kazi coz mapigo ya moyo ukiwa unalima ni tofauti kabisa na ukiwa unakimbia.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
sasa hao waingie tuu Gym hakuna namna, kama una eneo kubwa basi unaweza fanyaHuko daslam kwenye mafuriko wanalima wapi?
Ulinioa lini?mkewangu mamboo
Sijawahi kuwa na Bwana jfMy love mamboo
Watafute tumfano Nani mkuu
IPO hata nyanya ni matunda!Hakunaga bustani ya matunda
Usikirupuke elewa point dogoIPO hata nyanya ni matunda!
Yani kwamba kulima inasababisha hiyo mishipa kukatika, sasa siungekuta wakulima wote wana shida wakati wakulima wanadunda na afya njema...Hiyo ni sahihi sana ila sasa watakuja madr wetu watushauri kwamba hapo kwenye mgongo kitaalam kuna mishipa gani sijui ya neva za fahamu ikipata crack kidogo au nini sijui unalala maisha.. Yanatisha akiongea yeye kitaalam
Basi mwili wangu umepata faida mara dufu, maana naprint hadi so poa.Hata kutembea bila kukimbia ni faida kubwa kwa mwili
Mkuu naomba kujua mtu unajuaje kwamba nina calories nyingi ama chakula nilichokula ni kingi hivyo nikipunguze kwa mazoezi,unatumia kipimo gani kujua jambo hilo la kuzidi kwa calories ?Unapofanya kazi au mazoezi ina maanda unachoma kile kiasi cha calories za ziada ambazo hazihitajiki mwilini
Mafuta(akiba ya mwili) ili uyachome inatakiwa kusiwe na option ya source nyingine ya mwili kuzalisha hapo ndipo mwili utaanza kuchokonoa mafuta na kusnza kuyatumia.sasa ukiwa unafanya kazi za mikono na ukahakikisha jasho linakutoka unakuwa umefanya jambo kutumia nguvu zako kutekeleza jambo lenye faida na pili unakuwa umechoma mafuta mwilini.