Twaha Ibn Mohammed Mafiga
Member
- Oct 13, 2017
- 8
- 9
Kiukweli umasikini unatesa, umasikini unaumiza, umasikini unakatisha tamaa
Huenda tukaondoa umasikini kukuondoa mifumo ya uongozi tulio achiwa na wazungu na kutafuta njia nyingine ya uongozi ambayo itakuwa inambeba kiongozi pamoja na mwananchi wake..
Mfumo uliopo yaani mfumo wa vyama vingi unambeba mwananchi kuchagua kiongozi anae mtaka lakini hambebi mwananchi kwenye ushiriki wa maendeleo hii hupunguza ubora wa mtu mmoja mmoja kuwa mzalendo
Njia Ni moja tu kufuta mfumo wa vyama vingi (dividing system) na kufuata chama kimoja ambacho kitakua deule kwa manufaa ya nchi yetu pamoja na wananchi wake..
Tunauwezo wa kubadili katiba kwenye kipengere cha uongozi ili kunusuru nchi yetu..
Jinsi ya uongozi na mfumo bora wa uongozi utakavyo patikana
*Kutakuwa na kamati za uteuzi zitakazo undwa na viongozi wa vyama vya ushirika, siasa na vyama vya kiuchumi kisha itateua viongozi wa vyama vya upinzani na chama tawala baada ya hapo watanzunguka nchi nzima kuangamilia matatizo ya mwanchi mmoja mmoja kisha kuzipeleka kwenye kamati ya ujenzi wa nchi kupitia bunge na viongozi wanao wania upambaniaje nchi,
Kamati ya uongozi itateua miaka 10, ikiwa ni upinzani watapewa miaka 5 na miaka 5 kwa chama tawala, kutakuwa na kamati nyingine za maendeleo ikiongozwa kiongozi mmoja wa muhimili serikal wakifatiwa na muunganiko wa chama tawala na vyama vya upinzani na kuunda uongozi mmoja utakae msaidia kiongozi wa muhimili wa serikali aidha ni bunge, mahakama au mihimili mingine, Aidha kamati zote zitakua chini ya wizara mambo ya ndani ambao uongozi wake utapatikana kwa kufudhu mafunzo ya uzalendo ndani ya jeshi la Tanzania.
Uongozi usio kibeba chama cha siasa una uwezo mkubwa wa kubeba matatizo ya mtu mmoja mmoja...