Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 512
- 866
MainiWewe ndio wale programmer wa bongo? kwa attitude hiyo ndio maana bongo hakuna hata local software company moja au ni ubabaishaji mtupu, unashangaa kila chuo kina computer science course lakini software industry ni zero, mnasoma nini nyie?
We ni software engineer unayefanyaje sasaBado umelala usingizi mzito sana, kama wewe ni software Engineer unayeishi kwa kuandika code, debug , explain etc anza kutafuta kitu kingine cha kufanya
Yaani una maana kwamba gpt-4 inaandika perfect code. Hakuna bugs?…tuache stori za vijiweni jamaniBado umelala usingizi mzito sana, kama wewe ni software Engineer unayeishi kwa kuandika code, debug , explain etc anza kutafuta kitu kingine cha kufanya
Mods wataku-ban soonHunijui boss, kasome programming then jiite AI engineer
Hata AI wanasema wewe muongo[emoji41][emoji41]Subiri, ni swala la muda tuu, hata sasa AI inaweza kutengeneza simple applications ingawaje sio perfect lakini can be useful, kama machine inaweza kutengeneza picha kwa text command sioni kwanini ishindwe kuandika applications, mid journey inafanya vitu crazy ambavyo 2 years ago hakuna mtu alikuwa anaamini kama inawezekana, machines are taking over huo ndio ukweli
Ni sahihi lakini AI zinarahisisha kazi ambazo zinajirudia mara kwa mara na kuzitumia pia zinahitaji utaalamu.Soon programing zote zitafanywa kwa kutumia natural languages, hizo programing languages tunazotumia sasa kama python, js etc soon will be dead, najua mtabisha ila time will tell
hizo AI na ML zinatumia nini ktk operating system, au hata programming yenyewe huijui inafanyaje kaziProgramming inakaribia mwisho na sio siku nyingi itakuwa useless, kama una uwezo na nafasi kasome machine learning or artificial intelligence in general
Do yourself a favor, go educate yourself differences btn Learning vs programming, labda mtaamka maana mmelala usingizi mzito sana na mko wengi humuhizo AI na ML zinatumia nini ktk operating system, au hata programming yenyewe huijui inafanyaje kazi learning vs programming
However, we need to learn to code if we want to create applications that make use of AIDo yourself a favor, go educate yourself differences btn Learning vs programming, labda mtaamka maana mmelala usingizi mzito sana na mko wengi humu
Ok lakini not sure kama utakuwa na career yeyote, sasa machine zinaandika code vizuri kuliko binadamu, kazi za 10 software engineers zinaweza kufanywa na mtu mmoja tuu na huo ni mwanzo tuuHowever, we need to learn to code if we want to create applications that make use of AI