Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

Wewe ndio wale programmer wa bongo? kwa attitude hiyo ndio maana bongo hakuna hata local software company moja au ni ubabaishaji mtupu, unashangaa kila chuo kina computer science course lakini software industry ni zero, mnasoma nini nyie?
Maini
 
Bado umelala usingizi mzito sana, kama wewe ni software Engineer unayeishi kwa kuandika code, debug , explain etc anza kutafuta kitu kingine cha kufanya
We ni software engineer unayefanyaje sasa

Unashikilia makalio ya robot au
1679998841168.jpg
 
Bado umelala usingizi mzito sana, kama wewe ni software Engineer unayeishi kwa kuandika code, debug , explain etc anza kutafuta kitu kingine cha kufanya
Yaani una maana kwamba gpt-4 inaandika perfect code. Hakuna bugs?…tuache stori za vijiweni jamani
 
Subiri, ni swala la muda tuu, hata sasa AI inaweza kutengeneza simple applications ingawaje sio perfect lakini can be useful, kama machine inaweza kutengeneza picha kwa text command sioni kwanini ishindwe kuandika applications, mid journey inafanya vitu crazy ambavyo 2 years ago hakuna mtu alikuwa anaamini kama inawezekana, machines are taking over huo ndio ukweli
Hata AI wanasema wewe muongo[emoji41][emoji41]
Screenshot_20230428-091912.jpg
Screenshot_20230428-091922.jpg
 
Hongera sana, watu wengi ninaona wanaogopa programming ni wale wanaoshindwa kutenga hata muda kidogo kujaribu kuelewa na kufanya majaribio ya hapa na pale
 
Soon programing zote zitafanywa kwa kutumia natural languages, hizo programing languages tunazotumia sasa kama python, js etc soon will be dead, najua mtabisha ila time will tell
Ni sahihi lakini AI zinarahisisha kazi ambazo zinajirudia mara kwa mara na kuzitumia pia zinahitaji utaalamu.
Umetoa mfano wa midjourney, ili mtu aweze kuitumia midjourney productively anahitaji kuelewa zaidi masuala ya picha ili uweze kupata output nzuri ama kupata realistic result.
The same hata kwenye programming, best programmer ndio anafahamu anauliza vipi hio AI imletee code ya inayomeet requirements zake pia best programmer anafahamu hii code iliotengeneza AI ni quality kulingana na mahitaji.
So, sidhani kama AI inatishia hivyo zaidi watu wa kuogopa ni wale wa kudadindia tech, hao ni lazima iwatafune wazima wazima, maana hata hio kuitumia inahitaji skills pia.
Nitakuonesha mfano wa prompt moja ya kawaida kwenye hio AI generator ya kawaida na prompt za profeesionals uone result zinavyokua tofauti.
AI is an opportunity...
 
Programming inakaribia mwisho na sio siku nyingi itakuwa useless, kama una uwezo na nafasi kasome machine learning or artificial intelligence in general
hizo AI na ML zinatumia nini ktk operating system, au hata programming yenyewe huijui inafanyaje kazi
 
hizo AI na ML zinatumia nini ktk operating system, au hata programming yenyewe huijui inafanyaje kazi learning vs programming
Do yourself a favor, go educate yourself differences btn Learning vs programming, labda mtaamka maana mmelala usingizi mzito sana na mko wengi humu
 
However, we need to learn to code if we want to create applications that make use of AI
Ok lakini not sure kama utakuwa na career yeyote, sasa machine zinaandika code vizuri kuliko binadamu, kazi za 10 software engineers zinaweza kufanywa na mtu mmoja tuu na huo ni mwanzo tuu
 
Back
Top Bottom