Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

YphNet

Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
63
Reaction score
107
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo.

Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana kazi za kufanya au wengine tunaona kwamba ni wao tu ndo wanapaswa kufanya vitu hivyo, sivyo. Sasa nakuhimiza ukitaka ukomae kwenye programming anzisha project yoyote unapopata free time hata kama haina maana au hata kama watu wataidharau lakini lazima utakuwa umeongeza kitu fulani pale unapostruggle.

Mimi mwenyewe bado ni wakawaida kwenye programming lakini nimetengeneza viprojects vingi ili kukuza programming. Hiyo screenshot ni mfano wa game langu la kujiongezea kasi ya kuchapa (typing game) kwenye kibodi ya kompyuta. Toleo la kwanza la game hili nililitengeneza mwaka 2017 for personal use na nilitumia Java Programming language (Sources codes za toleo hili zipo GitHub for reference) kisha nikalipotezea muda mrefu na lilikuwa na kasoro nyingi.

Baada ya hapo nililibadilisha hivi karibuni (kuanzia toleo 2.00+) kuwa programmed katika C++ programming language, na nililiboresha zaidi nikaongeza features zingine zikiwemo:
Advanced layout-resizing, custom characters etc.

hchapa.png

Game hili halihitaji installation na ni dogo takribani 1 MB. Lina ligha mbili Kiswahili na Kiingereza.
Nataka kuwaambia tu kwamba msikate tamaa, ni kweli hivi vitu hapa Tz vinachangamoto hasa katika mafanikio lakini kama umependa unaweza komaa nacho huku unaendelea na mambo mengine pia. Ahsanteni.
GitHub link: GitHub - Yphware/HChapa: HChapa - The free Java typing game
 
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo. Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana kazi za kufanya au wengine tunaona kwamba ni wao tu ndo wanapaswa kufanya vitu hivyo, sivyo. Sasa nakuhimiza ukitaka ukomae kwenye programming anzisha project yoyote unapopata free time hata kama haina maana au hata kama watu wataidharau lakini lazima utakuwa umeongeza kitu fulani pale unapostruggle. Mimi mwenyewe bado ni wakawaida kwenye programming lakini nimetengeneza viprojects vingi ili kukuza programming. Hiyo screenshot ni mfano wa game langu la kujiongezea kasi ya kuchapa (typing game) kwenye kibodi ya kompyuta. Toleo la kwanza la game hili nililitengeneza mwaka 2017 for personal use na nilitumia Java Programming language (Sources codes za toleo hili zipo GitHub for reference) kisha nikalipotezea muda mrefu na lilikuwa na kasoro nyingi. Baada ya hapo nililibadilisha hivi karibuni (kuanzia toleo 2.00+) kuwa programmed katika C++ programming language, na nililiboresha zaidi nikaongeza features zingine zikiwemo:
Advanced layout-resizing, custom characters etc.

View attachment 2386186

Game hili halihitaji installation na ni dogo takribani 1 MB. Lina ligha mbili Kiswahili na Kiingereza.
Nataka kuwaambia tu kwamba msikate tamaa, ni kweli hivi vitu hapa Tz vinachangamoto hasa katika mafanikio lakini kama umependa unaweza komaa nacho huku unaendelea na mambo mengine pia. Ahsanteni.
GitHub link: GitHub - Yphware/HChapa: HChapa - The free Java typing game
Great
 
Ni vitu viwili tofauti kabisa, programming is about creating instructions (algorithm) , AI is about learning and problem solving like human, kasome zaidi tofauti zake utaelewa
Hata hizo Al zinatumia algorithm perform kazi mbalimbali na hizo algorithm zimekuwa coding by different programming languages.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana kijana kuna graduates wengi tu wa computer mpaka leo wanababaika kufanya vitu kama hivi ulipitia chuo au umejifunza mwenyewe?
 
Huwezi kuita AI ni programming hata kama kuna languages or algo zinatumika in a process, AI is more than programming
we jamaa unakua kituko sasa, no offense

unaijua Tensor Flow ? je unajua inatumika wapi ?

Tensor Flow ni library iliyo chini ya Google , kwa ajili ya ML , inatembea vizuri hasa kwenye Python kwa ajili ya high end processors , kuna Tensor Flow Lite inayotembea kwenye C/C++ kwa ajili ya low end processors

ML-driven Robots ( tasks zote kama machine vision, motion control, etc ) unazoziona nyingi zinatumia hiyo lib, na zinakua programmed kwa Python

kwa uchache tu
 
Ni vitu viwili tofauti kabisa, programming is about creating instructions (algorithm) , AI is about learning and problem solving like human, kasome zaidi tofauti zake utaelewa
Writing algorithm ni step of solving problem, kasome solving problem on computer.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
we jamaa unakua kituko sasa, no offense

unaijua Tensor Flow ? je unajua inatumika wapi ?

Tensor Flow ni library iliyo chini ya Google , kwa ajili ya ML , inatembea vizuri hasa kwenye Python kwa ajili ya high end processors , kuna Tensor Flow Lite inayotembea kwenye C/C++ kwa ajili ya low end processors

ML-driven Robots ( tasks zote kama machine vision, motion control, etc ) unazoziona nyingi zinatumia hiyo lib, na zinakua programmed kwa Python

kwa uchache tu
Programming refers to the process of creating instructions that a computer can execute to perform specific tasks. It involves writing code in a programming language, such as Python or Java, and using that code to build programs that can perform a wide range of functions.

AI, on the other hand, refers to the ability of a computer or machine to perform tasks that would normally require human intelligence, such as learning, problem-solving, and decision-making. AI involves the development of algorithms and models that allow a machine to perform tasks that would normally require human intelligence. These algorithms and models can be created using a variety of programming languages, such as Python, C++, and Java.

So, while programming is a necessary tool for building AI systems, it is not the same as AI itself. AI encompasses a wide range of technologies and techniques that are used to build intelligent systems.
 
Back
Top Bottom