YphNet
Member
- Sep 3, 2022
- 63
- 107
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo.
Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana kazi za kufanya au wengine tunaona kwamba ni wao tu ndo wanapaswa kufanya vitu hivyo, sivyo. Sasa nakuhimiza ukitaka ukomae kwenye programming anzisha project yoyote unapopata free time hata kama haina maana au hata kama watu wataidharau lakini lazima utakuwa umeongeza kitu fulani pale unapostruggle.
Mimi mwenyewe bado ni wakawaida kwenye programming lakini nimetengeneza viprojects vingi ili kukuza programming. Hiyo screenshot ni mfano wa game langu la kujiongezea kasi ya kuchapa (typing game) kwenye kibodi ya kompyuta. Toleo la kwanza la game hili nililitengeneza mwaka 2017 for personal use na nilitumia Java Programming language (Sources codes za toleo hili zipo GitHub for reference) kisha nikalipotezea muda mrefu na lilikuwa na kasoro nyingi.
Baada ya hapo nililibadilisha hivi karibuni (kuanzia toleo 2.00+) kuwa programmed katika C++ programming language, na nililiboresha zaidi nikaongeza features zingine zikiwemo:
Advanced layout-resizing, custom characters etc.
Game hili halihitaji installation na ni dogo takribani 1 MB. Lina ligha mbili Kiswahili na Kiingereza.
Nataka kuwaambia tu kwamba msikate tamaa, ni kweli hivi vitu hapa Tz vinachangamoto hasa katika mafanikio lakini kama umependa unaweza komaa nacho huku unaendelea na mambo mengine pia. Ahsanteni.
GitHub link: GitHub - Yphware/HChapa: HChapa - The free Java typing game