Njia wanazozitumia vijana kukuibia mke/mchumba/mpenzi wako

Umenena vyema... ila hizo njia ni ndefu sana...

Binadamu wa siku hizi hutumia short cut hata hawahangiki na cherekochereko zote hizo...

Cc: mahondaw
 
Trust me;

Mtu ambae anacheat na mwanamke wako/mpenzi wako ni:

1. Yule ambae kwanza hamtafuti kwenye simu mara kwa mara.

2. Hajawahi kulike picha yake yoyote kwenye mitandao ya kijamii.

3. Hajawahi kucomment picha yake yoyote kwenye mitandao ya kijamii.

4.Hana mazoea nae sana na hata ukiwa nae akakutana nae barabarani hawasilimiani.

Go and find that bastard... PERIOD!!

# If you know.. you know.

Kama umeelewa nilichokisema, you are absolutely a legend.
Only Psychologists will understand this comment deeply.

Congrats brother.
 
" usije ukafumbia macho au ukapuuzia ukiona mpenzi wako au mchumba wako ana mu entertain sanaa mtu asiekua wa jinsia yake,"

Mwisho wa kunukuu

Cc Smart911
Ni kweli kabisa, OP sorry princess huo mzigo unaonekana kwenye avatar ni wako?
 
Nimeona umemtaja Angela kairuki tuko akilini mwako siku zote nini
 
Aisee..aahh acha wamle tu.ntafanyaje sasa!mapenz ni kama bahar wenyew wanasema.Ukilinda feri wenzako wanavua bagamoyo
 
Kisaikolojia tunasema kila kitu kinategemeana na hali ya ufikiri, kusex na mtu ni matokeo ya hali ya ufikiri baina ya wagonganji na wagongwaji, kila kitu ni state of mind;

Nayasema haya kwa sababu mtu kumsaliti mpenzi wake ni matokeo ya kubadilishwa fikra, na jamii ambayo ni nyepesi zaidi ktk kubadilishwa mitazamo na fikra ni jamii ya kike, na hapa ndipo usaliti utokea,,, njia zenyewe ni kama ifuatavyo:-

1. vijana wakishapata tu mawasiliano ya mpenzi wako au demu wako au mkeo, moja kwa moja huanza kucomment kwenye picha au vitu vinavyoendelea kwenye mitandao ambavyo mpenzi wako kaviweka, mfano mke wako ataweka whatsap status, wao wataanza kucomment kwa kusifia, yawezekana hili swala kila mtu analijua na mimi sitaki kulitolea ufafanuzi sana, ila usifiaji hua unavuta attention ya uyo anaesiifiwa, hata kama hakua na interest na huyo anaemsifia, kitu kinachotokea ni kwamba, kijana ata comment kwenye hio status ya mkeo kua ni amependeza sanaa na ana vutia, masifio ambayo ni ya kawaida na wala hayamkasirishi mtu, ila jambo kubwa ambalo hawa vijana wata win hapo ni attention ya huyo mpenzi wako, ofcoz kila mtu ana penda kusifiwa.

2. Baada ya masifio, hatua inayofuata ni kuanza comparison, mpenzi wako atasifiwa ana miguu kama ya Jokate, jinsi alivyopendeza yaani katokelezea kama Hamisa Mobeto, ata kama mkeo ni mzee mzee kiasi watamwambia yaani mama una cheko ilo la kuvutia jamani kama Angela Kairuki,,, ni wewe ni mzuri jamani, nk nk. hizi comparison zitamvutia zaidi mpenzi wako huyo, na ni jambo la furaha kwa mtu wa kawaida kusikia amefananishwa na celebrity, usijidanganye braza kwamba et hizi ni childish things ee kumbe ndio mkeo anaenda kugongwa ivyoo, taratibu tu hapa vijana wana cheza mind games,,, na narudia tena hakuna jambo la furaha kwa wanawake kama kufanyiwa comparison ya vitu vyenye muonekano mzuri pamoja na kusifiwa.

Njia hizo mbili juu ziki kolea, count kwamba hawa wezi wameanza kuingia ndani,,, haya twende taratibu,

3. Baada ya usifiwaji wa viungo vya mkeo au mpenzi wako kuanza, taratibu kinachofuata ni life styles, aina za maisha, hawa wezi watajifanya wao wana miradi au kuna ishu wanaifukuzia ya maana, lakini wata taka kujua mpenzi wako ana savaivu vp? lakini hili hata sio lengo lao, wala hawana shida nalo, ila njia hii inatumika kuhamishia kwenye Sex Life style, so wana shift kutoka kwenye economic life styles to Sex Life Style.

Watamgusia mpenzi wako ni sehem gani hua anajiskia faraja kukaa na kuzungumza, inaanza ku move taratibu je ktk maisha yake ya mapenzi ni vitu gani hasa aliwai kufurahia, na mbona anaongea mambo meengii ila swala la kitandani halizungumzii? na watazuga kwamba mbona hata hakuna jipya, kila mtu ana jua sex ni kawaida na wote ni watu wazima sio vibaya kuelezea expirience zao, hutu tu vijana kwanza vitajianzia vyao vyenyewe 'ooh mimi nilikua na mpenzi wangu akaniumiza sanaa na hadi mahari nilikua nimeshalipa',,, mastori mastori hayo braza, mwisho wataanza kuhamia kwenye maswala ya kulana, kila mtu yaani mkeo na kijana mwizi ajae wata discuss zile moments za maisha yao, utamskia mkeo ana sema "mimi niliwai kutiwa kwa masaa tisa hadi huku chini kukawaka moto jamani",,, jamaa nae atasema "nimewai kula demu chumba styles zote nyumba nzima".

Hayo yote wana chats tu na mkeo au mpenzi wako hua ana futa usione,,, sasa mpaka kufikia hapo naomba nikuombe kwa dakika tatu maana mkeo/mpenzi wako anaenda kuliwa siku si nyingi...............

4. Mitindo ya ufanyaji ngono, hapa wataanza ku chat kuhusu styles nzuri za ufanyaji ngono, mpenzi wako atasema ana penda sanaa doggy, kajamaa katamwambia acha hio, woman on top ndio baba lao, mpenzi wako atakutaja hadi wewe kua ukimpigaga style fulani hua ana enjoy na yawezekana aka kusifia,,, ila unatakiwa ujue ni kwanini wamefikia hapo? So watachat hayo tu alaf basi? Lipo linalokuja braza lipo... basi baada ya kuelezeana hizi styles na nini kama chats za kawaida kwao, mifano itaanza, jamaa ambae ni mwizi ajae atamtumia video ya ngono mkeo nae mkeo atasema doooh imemsisimua, kutakua kuna mabadilishano ya video hizi, na tuweke rekodi sawa hapa, ni kwamba takwimu za dunia zinaonesha kwa siku ni zaidi ya watu bilion moja hua wanaangalia video za ngono, lakini google wao wanadai kwa siku kwenye ile search ingine yao neno sex hua lina typiwa kwa siku zaidi ya milion 900 na watafutaji au watazamaji wakubwa wa hizi video kwa asilimia 70 ni wanawake,,, hapa mkeo yumo, au basi hayumo, ila anaanza kuingizwa kwenye mfumo huu mpya wa maisha bila yeye kujua.

Narejea hili, kila kitu ni swala la ufikiri,,, fikra mpya huja kila siku so maamuzi mapya hua kujitokeza pia.

5. Kujilinganisha, hawa vijana wataanza kuvuka mipaka, wataanza kukuulizia wewe je una last kwa dakika ngapi juu ya kiuno cha mkeo/mpenzi wako, ata kama mpenzi wako atasema ni ishu privacy sanaa, jamaa watamwambia sio big deal wala, wataanza kujisemea wao, na taratibu mkeo ataanza kuwa consider, ni kwa sababu kitu kipya kinavutia kujaribiwa, na ukumbuke wametoka kule sio bure hivyo, na wewe sio malaika gabriel hauna assurance ya kuto chitiwa,,, wengine watasemea inategemeana na tabia ya mwanamke mwenyewe, braza braza usije ukasema iv kabisaa, asalitiwe samson ije wewe ndugu? hivi vitu ni nature tu, ndio dunia ilivyo, kila siku d*ck ile ile tu hata yeye ana tamani mpya sometimes ila anaanzaje na itakuaje, ila since amewa entertain hawa taratibu anaanza kushawishika japo kwa asilimia 10 tu na muda mwingine ana uoga, so matokeo ya kuwaendekeza ni mabaya kuliko ambavyo mwisho wake ambavyo unavyoweza kutafsirika.

6. Baada ya hapo hakuna lingine zaidi ya wewe kuibiwa chini ya mwamvuli "iwe siri yetu baby, mume/mpenzi wangu akijua ataniuua", so na kajamaa kapo ndani ya nyumba hadi kufikia hapo.

Njia zingine mtaongezea wenyewe,,, ila nimeileta hii ili kuweza kusaidia kwenye lolote ambalo mtu anaweza kuona litamsaidia au kumfumbua macho, usije ukafumbia macho au ukapuuzia ukiona mpenzi wako au mchumba wako ana mu entertain sanaa mtu asiekua wa jinsia yake, watu ubadilika, na kila kitu ni hali ya ufikiri.
Kwa hiyo unashauri tupekue simu za wake au mademu zetu?????
Huko ndo kujipa stress za bureeee tunajua haya mambo yapo mm mwnywe nagonga pemben sana tu ila cwez pekua cm yake
Muosha huoshwa pia
 
Hii in

inanigusa sana, mchumba anamsifu Sana mzee flan wa mtaani kwetu, siku moja mzee huyo alikuwa anayembea na pens mtaani mchumba akasema jamaa anayembea na pensi kofia ya uume inaonekana, mmh nikasema huyu vipi kawahi usema hivyo.

Mchumba anamsema Kias kwamba naona anatamani mtalimbo wa mzee, halafu nikawaza huo mtalimbo mkubwa kuliko wangu ukoje huo, wakuu nilimfatilia yule kizee baa anayonywea na wanawake wake, nikamlia timing Dem wake achukue video ninayo, nasubiri tu kunuonyesha huyu sweetie wangu,

Hakuna la maana zaidi ya tabia zankupenda kuonja onja nyama buchani.

Wakuu siku ya Kama nne nikafanikiwa kumlainisha mwanamke na nikamuonyesha sura ya mzee, akshtuka, baadae nikamuonyesha full video ya ngono
 
Khhaaa mbona process ndefu Sana. Mimi hata nilikuwa sifanyi hivyo vyote na niliwagonga Sana.
 
Suala la kugongewa lilikuepo, lipo na litaendelea kuwepo.

Ulivyoeleza ni sawa lakn wake au wachumba za watu hugongwa kwa njia nyingi sana.

Mm mke Wa mtu akijaa nafyeka maana najua hata wangu atafyekwa tu hata nisipojua
 
Njia yote hii ni kujitafutia matatizo. We toa salamu, tabasamu, usichukue namba bali acha namba yako, ukitafutwa usilete story nyingi nyoosha maelezo, Panga mihadi, timiza lengo. Tafuta mwingine. So simple.
 
Back
Top Bottom