JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Kabla sijaoa, nilikuwa nikiwaza, siku nikisalitiwa na mke, nitaua mtu, yaani kitendo tu cha kuwaza kwamba demu/mke wangu anagongwa nje, mapigo ya moyo yalikuwa yanapanda sana, wakubwa wangu kipindi hicho, wakaniambia subiri uoe harafu utajua,
Fast forward 8years later, leo hii hata nikikuta njemba inamshughurikia wife, tena ndani ya nyumba yangu, navuta kiti nakaa, napiga soda huku nawacheki, ninachoweza kufanya, nikumdhalilisha huyo njemba, sio kwa hasira, ilimradi, abaki na kumbukumbu mbaya tu