JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
We jamaa umeandika ukweli mtupu nimewahi kuwa na mahusiano na wake za watu. Unamla kimya kimya kama hamjuaniTrust me;
Mtu ambae anacheat na mwanamke wako/mpenzi wako ni:
1. Yule ambae kwanza hamtafuti kwenye simu mara kwa mara.
2. Hajawahi kulike picha yake yoyote kwenye mitandao ya kijamii.
3. Hajawahi kucomment picha yake yoyote kwenye mitandao ya kijamii.
4.Hana mazoea nae sana na hata ukiwa nae akakutana nae barabarani hawasilimiani.
Go and find that bastard... PERIOD!!
# If you know.. you know.
Kama umeelewa nilichokisema, you are absolutely a legend.
ila kwa style zipina huyo ni msichana bado (kiakili). mwanamke mwenye ndoa yake, mwenye akili timamu na anajiheshimu na kumheshimu mumewe/mpenzi wake huwez ukambeba kwa style hizo hata kwa bahati mbaya....
Kweli 100%"Adui mkubwa mwanamke ni upweke"
Ukiupa nafasi ubongo wa mwanamke ku connect na mwanaume mwengine tu kwa sababu humpi attention basi probability ya kuliwa kimasihara ni 80% hata ukiwa unampa hela kama Mo Dewji
Hao ndo wanachukuliwa kizemve mnoo niamini ninachokuambia,na huyo ni msichana bado (kiakili). mwanamke mwenye ndoa yake, mwenye akili timamu na anajiheshimu na kumheshimu mumewe/mpenzi wake huwez ukambeba kwa style hizo hata kwa bahati mbaya....