Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

Mkuu umezungumzia kuhusu,ku
La au kunywa kupitiliza,mimi napenda sana kahawa nahakikisaha kila hasubui napiga vile vikombe vidogo vya kahawa visivyopungua 8.., jioni pia hivyo hivyo..,je nipo katika hatari?
"Up to 400 milligrams (mg) of caffeine a day appears to be safe for most healthy adults. That's roughly the amount of caffeine in four cups of brewed coffee, 10 cans of cola or two "energy shot" drinks. Keep in mind that the actual caffeine content in beverages varies widely, especially among energy drinks"
 
Kama unavyojielekeza ndivyo utakavyoishi. Na kama utakavyoishi ndivyo utakavyokufa.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Umesahau kushabikia timu Kama yanga unakata Moto mapema
 
Hapo kukaa ndani muda mrefu nimo.
Ngoja nijirekebishe.
Hayo mengi simo
Kuendana na Utafiti Ulifanyika kuhusu Kukaa ndani muda Mrefu na Haya ndio Yalibainika.

"The results showed, during staying at home period, 60.11% experienced depression, 53.09% experienced sleep disturbance, 46.91% with irritability, and 48.2% with decreased libido. 76.12% of the individuals in the survey had sleep and circadian disorders."
 
Hata Mimi ambaye ni daktari pori kwa akili zangu za kuvukia barabara najua hilo ni tatizo.
Kahawa ikitumika kwa wingi inaathiri blood circulation, blood circulation ikiharibika unajua nini kinafuata
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…