Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

Na wewe utakufa tu zikifika haijalishi uwe mtoto, kijana au mzee..

Kama ulizaliwa then kuna kufa pia!
 
Kifo ni mwanzo wa maisha mapya usiogope!
 
Umemsahau Mwanamke mwenye kelele ndani ya nyumba, humuua mumewe taratibu taratibu kwa kelele zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…