Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

Dunia ina matrix sana , vikundi hivyo huwezi kuvikuta saudia , Qatar ,oman...Huyu Raisi wa Iran aliyekufa ndio aliwamaliza hao mamluki wa kutumia propaganda za kidni baadae aliwanyonga ndio wakamuita ''The butcher"


Watu hawa wanapewa pesa kukamilisha malengo ya wazungu , jiulize silaha wanatoa wapi ? Mzalishaji mkubwa wa silaha ni USA...Mtandao huo sawa na madawa ya kulevya kama ingekuwa uislamu unahusika nina hakika watu wengi wangekimbia hiyo dini ..Ni dini inaypokea watu wengi baada ya watu kuelewa kila mwk , ndio dini inakuwa kwa kasi.

Wale waliokamatwa pale Urusi juzi tu walisem islamic state ndio wanahusika , Putin akasema atafuatilia ili mwisho wa siku ni uongo , watu wanakuwa recruited na kulipwa kutokana na kutka utajiri na pesa ... Hakuna muislamu anaweza kuchoma na kuua watu kwa vile hukumu yake huko nchi za kiislamu ni kuuliwa tu , sasa iweje hawa wanaua ?
 
Inafikirisha sana
 
Mkono wa chuma wa Magufuli usioangalia haki za kibinadamu za magaidi zilituokoa kipindi kile. Huu wa sasa hauwezi. Nina wasiwasi magaidi yanazidi kujiimarisha ndani ya mpaka wetu.
Unamaanisha ni vile viroba vilivyokuwa vinaokotwa ufukweni!? Ambavyo jamaa zetu wakukomaza shingo wakabadili ikawa siasa kuwa anaua wapinzani!
 
Je, HIVI MAGAIDI NDIO WANAOJIFUNGAMANISHA NA UISLAM au WAANDISHI NDIO WANAOFUNGAMANISHA UGAIDI NA UISLAM?


Tuweke ushahidi ktk kulijadili hii conspiracy.

Kwani aina hii ya uandishi kama kwamba mwandishi alikuwepo wakati maturiko yakitokea yananipa mashaka kuwa hii ni script kama script nyingine za Hollywood za kuupata matope Uislam.

Tujiulize kwanini mwandishi mmoja (nzori kama sijakosea) aliyetaka kutuletea ukweli wa ugaidi kwa kibiti alipotezwa akiwa ktk mikono ya watu salama.
 
Usiwe na wasi hawa jamaa kwa sababu hizi habari tangu miaka ya 90's zipo sana yaani ,haya makundi ni watu wanaolipwa ni kinyume cha uislamu kabisa kwa 100% , hawawezi kufanya kazi kweny nchi wailsamu wala hayo makundi hayapo. .

Rejea iran iliwanyonga hao watu ndio ikakomesha huo ujinga , Kule libya wameibuka baada ya Gaddaf , kule Iraq wameibuka baada ya Saddam kunyonga , Afghanistan sasa hawapo baada ya kuondoa ule utawala .

Wnasema nchi za kiislamu kuna migogodo ila hao ndio chanzo wakiwa na dhumuni la kuiba mali , kule kwa Tliban walikuwa wanakomba zao la "opium'' ili wazidi kutengeneza madawa ya kulevya duniani .. Hawa ni watu wabaya sana walipigana vita ya dunia zote 2 wao kwa wao kwa ujinga wao ....

Nchi ikishakuwa na mali basi ni halali yao kuleta machafuko , huko Congo , Msumbiji kule middle east ndio usiseme .

Hawa ndio utawakuta kweny nchi za watu wakichochoea migogoro mda huo hamna nchi inaenda kuleta vurugu kwao .
 
Uko sahihi 100 percent...

Kuna wakati baadhi ya wanasiasa hapa kwetu walipata misukosuko kidogo nikaona wamekimbilia ubalozi wa Amerika...

Nilijiuliza hawa watu ni elimu ndogo au hawana akili kabisa?

Amerika na washirika wake wana mkono wao kila eneo lenye ugaidi duniani...

Hata hii ya MKIRU sidhani kama tunakosa mkono wao...
 
Tulia bwanamdogo, now tupo 62ml, hivyo tunahitaji Ardhi ya kutosha.. ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Tujiulize kwanini mwandishi mmoja (nzori kama sijakosea) aliyetaka kutuletea ukweli wa ugaidi kwa kibiti alipotezwa akiwa ktk mikono ya watu salama.
Mkuu siraha kubwa ya ugaidi ni media...

Magaidi ukiwapa uwanja wa habari zao kutoka, hutowamaliza ng'o...hasa hao waliokua hawataki kujulikana(MKIRU)...

Lengo lao ni kutia hofu kwenye jamii...

Stori ya Azory Gwanda naamini tukichimba na kuuangalia ugaidi kwa mapana yake tutaujua ukweli halisi.
 
Mmh kumbe tunapaswa kushukuru sana serikali na jeshi letu hawa watu ambao ni magaidi ni wendawazimu wa kidini. Ukilegea tu mnapoteana mazima!

Ndio nimeelewa pia kwa nini serikali inachelewesha mradi wa gas huko kusini.
 
Kwa mtindo huu vita haiwezi kuisha kama magaidi wanalipwa vizuri maana yake wanaushawishi kwa vijana ambao hawana ajira na wanaishi maisha magumu...
 
Mkono wa chuma wa Magufuli usioangalia haki za kibinadamu za magaidi zilituokoa kipindi kile. Huu wa sasa hauwezi. Nina wasiwasi magaidi yanazidi kujiimarisha ndani ya mpaka wetu.
Hakuna cha ugaidi wala nini nchi hii sema alikuwa na chuki tu kama makafiri wengine wote dhidi ya Waislamu na ndiyo walioenda kuuliwa na wale wengine wachache waliohoji juu ya mauaji hao wakapotezwa.
Tatizo la nchi la nchi yetu ni ubaguzi wa kidini tu hakuna cha ugaidi wala nini,kuna msemo unasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
 
Hii mikoa yote miwili ya Cabo Delgado na Niassa (Nyasa) inatakiwa kuja Tanganyika. Sijui kwanini Mwl hakutumia fursa ile adimu ya kupata uhuru kabla ya Msumbiji hakuitumia vizuri kurudosha mikoa hii miwili wakati kimsingi JWTZ ndo waliopigania uhuru wa Msumbiji yote kutoka kwa Mreno hadi inakuja kupata uhuru mwaka 1975. Alitakiwa atumie mwanya ule kukamata hii mikoa miwili ya Niassa na Cabo Delgado. Hii mikoa ina utajiri mkubwa wa Gesi na Mafuta. Ndo maana Mfaransa kaanzisha kikundi chake cha kigaidi pale ili aendelee kuchota bure zile rasilimali adimu kwa kisingizio cha kuikopesha Mozambique kuopambana na Magaidi ambao wao wenyewe ndo wanaowafadhili na kuwalipa mishahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ