Sioni la ajabu hapo, nimelala na dume mwenzangu kigetto geto Sana tuu, ishu n kama Mkiwa wawendawazimu
Hata mimi ni akili ya mtu tu😁Sioni la ajabu hapo, nimelala na dume mwenzangu kigetto geto Sana tuu, ishu n kama Mkiwa wawendawazimu
Wanaokojoa vitandani ukubwani wanapita kama wanaaga maiti wanaogopa kuchangia chochote mwisho wasemwe kwenye kauzi ka baba wa mtoto wa miezi sabaMtoto wa miezi 7😳😳
Funga bandage kidole anachonya wengine pia hutoboa kidogo kidole na sindano akinyonya anaumia anaacha.Wana JF,
Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu...sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje kumsaidia?
Yah, ila kama wote mnajitambua bc mnaishi poa tuuHata mimi ni akili ya mtu tu😁
Hivi huwa ni ugonjwa mkuu?Wanaokojoa vitandani ukubwani wanapita kama wanaaga maiti wanaogopa kuchangia chochote mwisho wasemwe kwenye kauzi ka baba wa mtoto wa miezi saba
Wengine ni ugonjwa ila wengine basi tu tumeshazoea kufanya hivyoHivi huwa ni ugonjwa mkuu?
Aisee nakuamsha ubadili mashuka🫢Wengine ni ugonjwa ila wengine basi tu tumeshazoea kufanya hivyo
Duh nimekosea mimi sikojoi madam ,naomba Moderator na mkuu wangu wa kazi ,kamanda la makamanda Active tafadhali rekebisheni hapo kwenye komenti kuwa nakojoa kitandani mwenzenu sikojoi kitandaniAisee nakuamsha ubadili mashuka🫢
Ila mkwee sasa wakurekebishie wapi au ushapiga vitu vyako? Unakojoa wapi?🤣
Mchumba anavumilia mengi aisee🤣 jamii haipo humu kuwa na amani tuNisaidieni bure ,mimi mwenzenu nina mchumba hapa jamvini ,nistiri mwanaume mwenzenu na pia natgemewa na jamii nisaidie nisidharirike na watu wengi jamaa zangu
Mr Backtobasics, msikilize kwa makini na hiki nachokwambia ukitekeleze,Wana JF,
Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu...sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje kumsaidia?
Duh ,sasa nilale mimi ,sioni lolote la kuendelea hapa jamvini ,kaka min -me nakukubali bro wewe ni mwamba sana aiseeIla mkwee sasa wakurekebishie wapi au ushapiga vitu vyako? Unakojoa wapi?🤣
Mchumba anavumilia mengi aisee🤣 jamii haipo humu kuwa na amani tu
Mtoto wa miezi 7