Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

Train ndio solution especially city center kuingia na kutoka, na ukweli barabara ziongezwe hazitoshi, mabasi makubwa ya usafirishaji abiria 100 au zaidi yapewe rights za kununua njia za mwendokasi, vipanya sijui vibasi vidogo marufuku city center, number 5 doesn’t make any sense to me
 
Kikubwa changamoto ikate kabisa. Hata madogo wakipata hiyo dhahabu ya 10m sio mbaya.
Kweli kabisa, kikubwa ni changamoto ikate kabisa.

Underground bullet trains ndio suluisho la tatizo.

masafa marefu, vituo vichache. kutoka kwenye makazi kwenda city centers
 
Habari Tanzania !

Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu.

Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo;

1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population ); usafiri hapo utumike wa umma pekee.
Hapa hoja ni mipango miji, na ubora wa usafiri wa umma.
2. Tuweke Transport Card; hii haikwepeki hapa. Tuweke utaratibu mzuri wa nauli rafiki; pia mwananchi/ abiria aweze kuwa na Kadi ya Usafiri hii kwa safari zake za hapa na pale.

Si ndio APP za Mwendokasi?
3. Tuunde Shirika la Usafiri wa Umma (Pawe na kampuni za Usafiri wa Umma zisizidi 3 mpaka 5 tu); zisajiriwe kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Tuachane na maupumbavu yaliyopo leo hii.

Ndio kuna UDART inayosimamia makampuni mengi ya Mwendokasi
4. Serikali iruhusu mtu/ watu/ kampuni binafsi zijenge barabara na kuweka tozo ya huduma kwa muda fulani wa faida na rejesho kwa muwekezaji kulingana na makubaliano na Serikali. Haya makubaliano na mikataba ipitie Bungeni.
Hili wazo kwangu sijawahi kulikubali hata kidogo
5. Gereji zote za vyombo vya moto zisajiriwe ziwe za kitaasisi na sio kama ilivyo kwa sasa. Tunatupunga msongamano na mlundikano wa hivyo vyombo vya usafiri.
👍
6. Siasa isijifiche kwenye usafiri wa Umma.

Karibu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
"Sisiemu imeoza ,imechoka ,imekosa ubunifu ,ili kuleta maendeleo inabidi kuiondoa madarkani SISIEMU" - J.W.H East Africa Radio 24.02.2026
 
10M ni ndogo sana kwa solution kama hiyo . Ask price kwangu ni 1B na solution ni ndani ya week Moja matokeo yanaonekana
 
Back
Top Bottom