Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Kweli kabisa, kikubwa ni changamoto ikate kabisa.Kikubwa changamoto ikate kabisa. Hata madogo wakipata hiyo dhahabu ya 10m sio mbaya.
Hapa hoja ni mipango miji, na ubora wa usafiri wa umma.Habari Tanzania !
Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu.
Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo;
1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population ); usafiri hapo utumike wa umma pekee.
2. Tuweke Transport Card; hii haikwepeki hapa. Tuweke utaratibu mzuri wa nauli rafiki; pia mwananchi/ abiria aweze kuwa na Kadi ya Usafiri hii kwa safari zake za hapa na pale.
3. Tuunde Shirika la Usafiri wa Umma (Pawe na kampuni za Usafiri wa Umma zisizidi 3 mpaka 5 tu); zisajiriwe kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Tuachane na maupumbavu yaliyopo leo hii.
Hili wazo kwangu sijawahi kulikubali hata kidogo4. Serikali iruhusu mtu/ watu/ kampuni binafsi zijenge barabara na kuweka tozo ya huduma kwa muda fulani wa faida na rejesho kwa muwekezaji kulingana na makubaliano na Serikali. Haya makubaliano na mikataba ipitie Bungeni.
👍5. Gereji zote za vyombo vya moto zisajiriwe ziwe za kitaasisi na sio kama ilivyo kwa sasa. Tunatupunga msongamano na mlundikano wa hivyo vyombo vya usafiri.
6. Siasa isijifiche kwenye usafiri wa Umma.
Karibu.
Msi vunje wala kuchana seat sasaIla points zako nzuri. Wawekeze kwenye usafiri wa uma. Hizo mwendokasi ziwe za kutosha, safi nzuri full ACs hadi watu waache vigari vyao vya mikopo nyumbani.