Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa wale wenzangu na mimi waliobahatika kupata bahati ya mtende ya kuwa viongozi huku wakiwa hawana sifa kivilee. Badala ya kuteua wasaidiazi ambao ni intelligent, wenyewe wanakimbilia kuteua wasaidizi vilaza na machawa wa kuwasifia 24 hours/week.