Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,266
- 1,264
Hii niliambiwa na mama mkwe mdogo (nahisi imeka kiuchawiuchawi hivi). Eti unachukua sufuria iliyochakaa, then unachukua pichu yako na na mwanaume wako ziwe safi, then unaziweka ndani ya hiyo sufuria chakavu afu unafunika chini ya kitanda mnacholalia na kwamba hamtopata mimba mpaka mkiamua na mkiamua mnataka sasa mimba iingie unaifunia ile sufuria na unazichoma zile pichu then eti mnapata mimba. :A S-devil4::A S-devil4: