Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 189
Unamenya kitunguu saumu unakata pieces ndogondogo unachanganya na kijiko cha asali unameza daily.... but inafanya jasho linakuwa na harufu Kali Sana.
Shukrani... unameza bila ukomo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamenya kitunguu saumu unakata pieces ndogondogo unachanganya na kijiko cha asali unameza daily.... but inafanya jasho linakuwa na harufu Kali Sana.
Unamenya kitunguu saumu unakata pieces ndogondogo unachanganya na kijiko cha asali unameza daily.... but inafanya jasho linakuwa na harufu Kali Sana.
Shukrani... unameza bila ukomo?
Kwani uongo...
Utamu kolea!!
Wengine akina sie ni mimama ila tunajazia tu ujuzi
We si umeoa? Tuelekeze bas ya kwako
Akitumia hii atakuwa na genye balaaaa pia wa mootooo... IPA angalia usiunguze dushe
Mbona sasa hatuoni maelezo yenye uhakika toka kwako :A S angel:
TOkea nianze kusoma huu uzi naona kama kuna wapiga chabo wenye kutaka kujua watazuia vipi mimba kwenye michepuo yao, sasa hakuna mwenye kutoa majibu ya uhakika na ndio maana haka kauzi kanakimbia kweli kweli
Nimeoa wake wengi wasiofanana siku za hatari...hii ndio njia ya asili ninayotumia niliyofunzwa na babu
Swafiiiiii..! Kumbe ndio maana michepuko inatushika sana?? Lol!
Nimeoa wake wengi wasiofanana siku za hatari...hii ndio njia ya asili ninayotumia niliyofunzwa na babu