Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

wapi majani ya chani na blue ya kuweka kwenye nguo nyeupe..nliwahi sikia hii pia inazuia mimba nkiwa o level...hahaa but Neva try it..
kizazi ktaota kutu

Yanatoa sio kuzuia mimba.
 
Inabid umtafute au umuulize dada ako ....kuna umuhimu wa kujua njia asilia walizotumia mama na bbi zetu kupanga uzazi kwa maana nawaza sana pindi ntakapoolewa itakuweje
Za hospital sio nzuri wanawake weng wanalalamika

Kalenda plus condom are the best.
 
Hakuna dawa nzuri zaidi ya kalenda. Mm mke wangu anatumia kalenda kwa sasa ni mwaka 4 toka ajifungue.
 
Kuna mmea Flani unaitwa mnyonyo Mara nyingi majani yake yanatumika kujikandia/ kuchua kama umeumia sasa basi mbegu zake ni kinga ya mimba ila kuna namna ya kuzimeza

Mi nnliskia izo mbegu zinafanya njia ifunguke kwa wepes ukitaka kujifungua.
 
Kuna vidonge vinaitwa morning after pill, ukihisi tu umepata mimba unavimeza.Vinatakiwa vimezwe within Massa 72 tangu mlipo sex.
 
Back
Top Bottom