Tiririka vema ili tutafiti kwa faida ya jamii nzima
kuna dawa nyingi tu ambazo ni scientifically verified tunaweza kutumia hizo- postnor 2, metakelfin+ junior asprin, pia cyprofloxacin za U.T.I huwa zinaforce bleed kutoka thats why wajawazito hatuwapagi cypro endapo wakionekana wana UTI wao kuna dawa nyingne hupewa ambazo pia hutibu uti!! pia tunashauriwa kunywa maji ya baridiiiiii kabisa ikiwezekana yanayokaribia kuganda husafisha mbeguza kiume. asanteeeeee!
Dawa nyingine wakati wa Tendo mwanamke fumba machooo mimba utaziona kwaa wengine
Hivi hizi hadithi huwa mnazitoa wapi?
Nahisi kuna kitu kingine anamix na hizi mbegu,ila ana wateja wengi wamama so nahisi issues zake zitakuwa zinawork...
Kwa wazee.... Wewe baki fb na jf hafu yakikukuta utajua vyema
Mambo gani hayo unayodhani yatanikuta? Na yatapata wapi wakati mie nilishastaafu hiyo michezo yenu yote ya kitoto na kikubwa??
Wazee ni hazina. Elimu dunia haina mwenyewe bali mwenye matukio mengi ndio mzoefu. Hongera kustaafu.... may be you are safe
Kama hilo umelitambua basi jibu swali langu....
Sisi wazee huwa hatuwapi watoto na wajukuu wetu tiba au ushauri ambao unaelea hewani. Hii tiba yako ya kuongeza kasi ya uzinzi umeipata wapi??
Is this true? Ubaridi unapishana. Ubaridi upi hasa?
Dina sio vizuri hivyo uwe unajibu maramojamoja basi .Maana nimetuma kama mbili hivi tena za amani tu lakini hakuna majibu .sijui huwa hazikufikii hahhahhahhahhah.
Hii imetoka kwenye hazina ya wazee wangu. Wameitumia kitambo, na nimeitumia na naitumia pia. Ila nimeoa. Sishauri waitumie km kgezo cha kujitafutia maambukizi ya virus vya ukimwi. Na wasiitumie km hawako kwenye ndoa.
mtoa mada na wewe ni babu wa loliondo au wapi?
Sasa unaweza kutueleza ni kwa jinsi gani dawa hiyo inavyofanyakazi (scientifically)?
Sperms zinaingizwa kwenye njia ya uzazi (reproductive system) na majivu yananywewa mdomoni hadi tumboni (the gastro-intestinal system). Sasa hiyo dawa inafanyaje kazi?
Sasa unaweza kutueleza ni kwa jinsi gani dawa hiyo inavyofanyakazi (scientifically)?
Sperms zinaingizwa kwenye njia ya uzazi (reproductive system) na majivu yananywewa mdomoni hadi tumboni (the gastro-intestinal system). Sasa hiyo dawa inafanyaje kazi?
nilipoteza ndugu kwa uji nga huu huu. Lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, nakisabahi tu babu.