Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Tiririka vema ili tutafiti kwa faida ya jamii nzima

Yaa Niliwahi kumuona mama moja jirani yetu akichuma hii dawa zamani nikiwa mdg ila all in all mbegu/matetere ya papai yakikaushwa na kusagwa inafanya kazi hiyo,mama yake na best yangu ni mmasai anafanyaga hizo ishu hadi alizawadiwa 5M na dada mmoja wa kikorea baada ya kumsaidia,hiyi ni 2004.
 
Nahisi kuna kitu kingine anamix na hizi mbegu,ila ana wateja wengi wamama so nahisi issues zake zitakuwa zinawork...
 
kuna dawa nyingi tu ambazo ni scientifically verified tunaweza kutumia hizo- postnor 2, metakelfin+ junior asprin, pia cyprofloxacin za U.T.I huwa zinaforce bleed kutoka thats why wajawazito hatuwapagi cypro endapo wakionekana wana UTI wao kuna dawa nyingne hupewa ambazo pia hutibu uti!! pia tunashauriwa kunywa maji ya baridiiiiii kabisa ikiwezekana yanayokaribia kuganda husafisha mbeguza kiume. asanteeeeee!

Ngumu kumeza.... asante saaanaaa
 
Kwa wazee.... Wewe baki fb na jf hafu yakikukuta utajua vyema

Mambo gani hayo unayodhani yatanikuta? Na yatapata wapi wakati mie nilishastaafu hiyo michezo yenu yote ya kitoto na kikubwa??
 
Wazee ni hazina. Elimu dunia haina mwenyewe bali mwenye matukio mengi ndio mzoefu. Hongera kustaafu.... may be you are safe
 
Kama hilo umelitambua basi jibu swali langu....

Sisi wazee huwa hatuwapi watoto na wajukuu wetu tiba au ushauri ambao unaelea hewani. Hii tiba yako ya kuongeza kasi ya uzinzi umeipata wapi??
 
Hii imetoka kwenye hazina ya wazee wangu. Wameitumia kitambo, na nimeitumia na naitumia pia. Ila nimeoa. Sishauri waitumie km kgezo cha kujitafutia maambukizi ya virus vya ukimwi. Na wasiitumie km hawako kwenye ndoa.
 
Dina sio vizuri hivyo uwe unajibu maramojamoja basi .Maana nimetuma kama mbili hivi tena za amani tu lakini hakuna majibu .sijui huwa hazikufikii hahhahhahhahhah.

We tuma tuma tu utajibiwa na mwenye mii haya shida niniiii
 
Hii imetoka kwenye hazina ya wazee wangu. Wameitumia kitambo, na nimeitumia na naitumia pia. Ila nimeoa. Sishauri waitumie km kgezo cha kujitafutia maambukizi ya virus vya ukimwi. Na wasiitumie km hawako kwenye ndoa.

Sasa unaweza kutueleza ni kwa jinsi gani dawa hiyo inavyofanyakazi (scientifically)?

Sperms zinaingizwa kwenye njia ya uzazi (reproductive system) na majivu yananywewa mdomoni hadi tumboni (the gastro-intestinal system). Sasa hiyo dawa inafanyaje kazi?
 
nilipoteza ndugu kwa uji nga huu huu. Lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, nakisabahi tu babu.

A research of interest. Nipe muda nitakuja hapa na hilo....
Tunaacha misingi ya kwetu kwa kigezo cha sayansi za vitabuni. Anyway haya yote ni matokeo ya mifumo iliyopangwa, ikapandikizwa na tukakubali kuifuata.
Kwa umri wako na hekima zako ni mangapi ktk hii dunia unayaona au kuyasikia, ni ya kweli ktk maisha yako na unajua sayansi yake? Kati ya hayo unayojua umehakiki mangapi na kujiridhisha kuwa yanavyosemwa/kuandikwa ndivyo yalivyo?
changamoto mpya kwako mstaafu.
 
nilipoteza ndugu kwa uji nga huu huu. Lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, nakisabahi tu babu.

Kongosho what happened? Majivu sio sumu. Yanatumika sana kwa watu wenye kiungulia. Au hujui hilo?
 
Back
Top Bottom