Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

nishawahi kutumia hii ya majivu na sikuconsive zamani sana na alienieleza njia hiyo ni huyo tulokuwa tunasuguana duuu ila nilikuwa naogopa sana nilikuwa nahisi k utakuwa na reaction huko mwilini ya ajabu ajabu tu b
aada ya hapo kalenda tu baaaas
 
Mimi Dawa ya kuzuia mtu asipate mimba ninayo lakini siwezi kuweka hapa kwa mwenye kutaka anitafute kwa pesa sitowe bure Bonyeza hapa.Mawasiliano ~ Mzizi Mkavu
 
Na anaeijua kinga ya UKIMWI asilia autuambie
 
Withdrawal tu ndo ninatumia and i like it
 
asante@mzizi mkavu maana mavidonge bwana mi siyapendi
ngoja nianze na shabu
 
kuna demu flan alikuwa malaya sana, ilikuwa akilala na mwanaume kavu kavu, anachemsha majani ya chai anaweka maji kidogo af anakunywa huo mchemsho. Mimba haishiki ila cjui yanafanyaje kazi
 
Eti nikweli ukinywa kikombe kimoja cha majivu yaliyo changanywa na maji baada ya kujamiiana hupati mimba
 
Mtakuja kujisababishia utasa wa milele na izi hadithi
 
huyu si ndo aliekuwa anaomba ushauri amempa mimba mwanafunzi naona sasa roho ya mauti imemwandama anataka akaue kiumbe aseeh usithubuti mwache azae tuu
 
Tumia condom ina uhakika kuliko majivu, morning after pills pia inaweza kukusaidia. Kama unafanya lile tendo na hutaki mototo, huogopi VVU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…